kipanta the boss
Member
- Dec 15, 2013
- 57
- 85
Nimeishiwa pozi, muda wote huu wapo na mchezaji wameshindwa kufatilia ITC, hii mbona ajabu sana. Huu ni upuuzi wa kiwango cha dunia aseViongozi wa simba hawajapata ITC yake hadi sasa itc yake ipo kwao Congo hadi muda huu.
Uwezekano wa Mpanzu kucheza kesho ni zero 0.
Pale unaweza kuona watu wanapiga suti, mashati mazuri,lakini hakuna kitu kabisa vichwani. Hao watu watoke wapi wakati jamii imejaa wapumbavuNimeishiwa pozi, muda wote huu wapo na mchezaji wameshindwa kufatilia ITC, hii mbona ajabu sana. Huu ni upuuzi wa kiwango cha dunia ase
Usikute hii ishu ni kama ya manzoki pia[emoji23]nimewaza tu.Pale unaweza kuona watu wanapiga suti, mashati mazuri,lakini hakuna kitu kabisa vichwani. Hao watu watoke wapi wakati jamii imejaa wapumbavu
Kwa wale wapuuzi pale chochote kinawezekana. Kiongozi na akili zako huwezi kumleta mchezaji kwa ajili ya kukupigia kampeni, huko ni kutuona sisi wapuuziUsikute hii ishu ni kama ya manzoki pia[emoji23]nimewaza tu.
pale ndio makao makuu ya mambumbumbu ulikua hujui?Kwa wale wapuuzi pale chochote kinawezekana. Kiongozi na akili zako huwezi kumleta mchezaji kwa ajili ya kukupigia kampeni, huko ni kutuona sisi wapuuzi
Ila Ahoua mbona mchezaji mzuri sana tuWatuambie kama tatizo ni pesa, hawa wapuuzi wameleta Mutale na Ahoua wanazurura tu uwanjani. Hawajutii kabisa
Lakini sio kwa kiwango cha upumbavu wa kumsajili Dube na Balekepale ndio makao makuu ya mambumbumbu ulikua hujui?
Bora hao wanacheza Baleke ana goli moja ligi kuu na Dube analo moja cafcl hatua ya makundi je Mazonki anayo mangapi?Lakini sio kwa kiwango cha upumbavu wa kumsajili Dube na Baleke
As Vitta ndo hawataki kutoa ITC mkumbuke Mpanzu na Vitta hawakuaachana vizuriMPANZU HAWEZI KUCHEZA LEO MIMI NINA UHAKIKA.
TFF NA SIMBA WAMEAHINDWA KUPATA ITC YA MPANZU MAPEMA.
TFF NA SIMBA WOTE WANA MAKOSA
Hahahahaha inawezekana piaUsikute hii ishu ni kama ya manzoki pia[emoji23]nimewaza tu.
Umeonhea nilichotaka kusemwa..usajili umeenza tarehe 15..kuwa na mchezaji miezi miwili ilikuwa ni kipindi tu cha kuzoeana na wenzieNimeona mashabiki wengi huko juu wanalaumu kwa nini ITC hawakushughulikia mapema, pengine ni kutokufahamu tu... ITC ya mchezaji wa nje huwa inaombwa pale dirisha la usajili la nchi husika linapofunguliwa ili kuwezesha mchezaji kuwa registered. Huwezi kuomba Itc kama hakuna dirisha la usajili...
[emoji16][emoji16][emoji16]Okello
Kimvuidi
Pacome