Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 278
- 477
Kuna watu wamelewa aisee, unakuta mtu anasema simba wamteme karaboue na okejepha ukiwaambia nitajie game aliyocheza vibaya , Chamoue ni ipi hawezi kuipata hata moja.Ila Ahoua mbona mchezaji mzuri sana tu
Watu wa humu sio wa kuwazingatia wengi wao ni vihio mpira wameukurupukia ukubwani baada ya kufukuzwa kwenye vikoba..Kuna watu wamelewa aisee, unakuta mtu anasema simba wamteme karaboue na okejepha ukiwaambia nitajie game aliyocheza vibaya , Chamoue ni ipi hawezi kuipata hata moja.
Mutale ana shida ya kisaikolojiaMutale vs Onana
Jadili
SahihiPacome na Yao wameongeza mikataba yao..
Subiri kidogo. Dirisha ndo limefunguliwaTetesi za tetesi tu hakuna kitu hapa
SahihiMutale ana shida ya kisaikolojia
Nadhani watu wa saikolojia wakae nae vizuri
Ana kipaji kikubwa tu
Takwimu hizi siyo za kweli. Allan Okello Kwa ligi kuu Uganda pekee msimu huu ana goli 10 na ndiye kinara wa kufumania nyavu.Huyu hata Tabora Utd hapati namba
View attachment 3177957
Fei toto labda dirisha kubwa. Hawezi kutumika mashindano ya CAF Kwa timu 2 tofauti msimu mmojaMkuu emb waambie simba waache mambo ya kiduwanzi..badala ya kuhangaika na fei au wachezaj wengine wa maana , wanahangaika na mavitu gani haya
Quality hawafiki beiDirisha dogo kupata quality kubwa sokoni ni mtihani sana, natamani kama simba wangejikita kuchukua quality za kizawa zaidi ili dirisha kubwa tudeal na quality za nje zenye ubora mkubwa.
Sawa mkuu. Kwa hiyo anaweza kutua dirisha dogo?Takwimu hizi siyo za kweli. Allan Okello Kwa ligi kuu Uganda pekee msimu huu ana goli 10 na ndiye kinara wa kufumania nyavu.
Wamelewa wale, yaani dogo anapata game time leo wamtake kwa mkopo, shubamit zao, kwanini wasimuombe yule OMARY OMARYNimesikia Kagera wanawaomba kwa mkopo Chasambi na Karabaka, nikikumbuka uhuni uliofanywa kwa usajili wa mkopo wa yusuph mbaraka viongozi wa Simba watatukosea Kama tukiwapa wachezaji.
Endapo Mutale ataachwaSawa mkuu. Kwa hiyo anaweza kutua dirisha dogo?
Chasambi haondoki. Karaba ndo atatolewa kwa mkopoWamelewa wale, yaani dogo anapata game time leo wamtake kwa mkopo, shubamit zao, kwanini wasimuombe yule OMARY OMARY
Mara nyingi quality players humilikiwa na timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa. Hivyo kumchukua katikati ya msimu hakukufaidishi Kwa kuwa haruhusiwi kucheza timu mbili CAFQuality hawafiki bei
Chasambi leo katoa assist tatu za goliChasambi haondoki. Karaba ndo atatolewa kwa mkopo
Halafu mchezaj bora wa mchezo apewe jean??Chasambi leo katoa assist tatu za goli