kipanta the boss
Member
- Dec 15, 2013
- 57
- 85
YesALLAN OKELLO TO SIMBA?
uongozi wa simba umefikia makubaliano na management ya mchezaji allan okello kuja simba,
Kinachofata ni kupeleka ofa vipers,
Tuombe Mungu yule Rais wa vipers asijefanya kama alivofanya kwa manzoki.
Mutale anaweza pisha ingizo la allan okello!
Sahihi kabsa mtaalam, 6, na CB hawapaswi kusaulika!Simba wana Haha sana kumtafuta kiungo No 10.
Wanasahau kuwa wana mapungufu kwenye Beki wa kati na Kiungo Mkabaji No 6.
Wanamahitaji
No 5.
No 6.
No 10.
Wakipata watu kwenye Maeneo hayo basi ubingwa wa CAF CC huu hapa
Unamkumbuka OKWI, vipi kuhusu AUCHO? TADEO LWANGA JE, vipi kuhusu Travis Mutyba?Daah wachezaji kutoka uganda big no wako na quality ndogo to be able to shine hapa tz.
Na Winger moja ya maana wa kusaidiana na MpanzuSimba wana Haha sana kumtafuta kiungo No 10.
Wanasahau kuwa wana mapungufu kwenye Beki wa kati na Kiungo Mkabaji No 6.
Wanamahitaji
No 5.
No 6.
No 10.
Wakipata watu kwenye Maeneo hayo basi ubingwa wa CAF CC huu hapa
6 haina haja mkuu, Kagoma na Okejepha wanatosha...Simba wana Haha sana kumtafuta kiungo No 10.
Wanasahau kuwa wana mapungufu kwenye Beki wa kati na Kiungo Mkabaji No 6.
Wanamahitaji
No 5.
No 6.
No 10.
Wakipata watu kwenye Maeneo hayo basi ubingwa wa CAF CC huu hapa
SahihiDaah wachezaji kutoka uganda big no wako na quality ndogo to be able to shine hapa tz.
Kabisa 6 tuna wachezaji wenye uwezo wa kupambana na timu yoyote ile, sema mashabiki bado hawaelewi nan namba 6 ,mgawanyo wa mechi wanaona hatuna namba 6 ila kila mmoja akicheza 6 kati ya Okejepha na kagoma wanaperfom vizuri tu6 haina haja mkuu, Kagoma na Okejepha wanatosha...
5 na 10, yes.
Juma balinya mrundiS
Sahihi
Okwi
Aucho ni warundi
Unabishana na hao waliofukuzwa kwenye saccos mkuu na kukimbilia kwenye ushabiki wa mpira unafikiri wanaujua mpira wao ni kelele tu ili kupunguza sonona..S
Sahihi
Okwi
Aucho ni warundi
MhhKaizer chiefs wametuma offer ya Tsh 1 billions kumhitaki Ibrahim Bacca
Coach Nabi na Kaze wanahitaji huduma ya kitasa kutoka Yanga
Uongozi wa Yanga wapo wanajadili offer hii na wamesema watatoa jibu siku sio nyingi
Timu mbovu inataka kumsajili mchezaji mbovu si itashuka daraja sasaKaizer chiefs wametuma offer ya Tsh 1 billions kumhitaki Ibrahim Bacca
Coach Nabi na Kaze wanahitaji huduma ya kitasa kutoka Yanga
Uongozi wa Yanga wapo wanajadili offer hii na wamesema watatoa jibu siku sio nyingi
We nishakudharauTimu mbovu inataka kumsajili mchezaji mbovu si itashuka daraja sasa
Yanga wachukue hela hiyoKaizer chiefs wametuma offer ya Tsh 1 billions kumhitaki Ibrahim Bacca
Coach Nabi na Kaze wanahitaji huduma ya kitasa kutoka Yanga
Uongozi wa Yanga wapo wanajadili offer hii na wamesema watatoa jibu siku sio nyingi
Kabisa 6 tuna wachezaji wenye uwezo wa kupambana na timu yoyote ile, sema mashabiki bado hawaelewi nan namba 6 ,mgawanyo wa mechi wanaona hatuna namba 6 ila kila mmoja akicheza 6 kati ya Okejepha na kagoma wanaperfom vizuri tu
Na Winger moja ya maana wa kusaidiana na Mpanzu