pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Hizo ni 10% za watu mkuu.»Kiungo no 10 wa kigeni;
Simba tunahitaji a complete no 10 mwenye kasi,nguvu na maarifa makubwa ya mpira anayeweza kuitawala midfield.
»Winga mzawa;
Toa karabaka tia winga mwingine.
»Beki wa kati mzawa;
Toa huseni kaze tia beki mwingine.
»Kiungo mzawa;
Toa omari omari tia kiungo mwingine.
Mkuu Yanga msimu ujao tunahitaji sajili kama 3 au 4 za maana. Hasahasa mshambuliaji, namba 6, winga na kiungo mchezeshaji.Coach Ramovic ameshauri uongozi wa Yanga kuachana na mpango wa kumsajili beki wa Fountain Gate Laurin Makame
Baada ya kumtazama Kwa mechi 2 kati fountain Gate na Azam na Yanga
Ikumbukwe usajili wa Makame ulikuwa umekamilika 90%
Yanga inahitaji beki wa katiMkuu Yanga msimu ujao tunahitaji sajili kama 3 au 4 za maana. Hasahasa mshambuliaji, namba 6, winga na kiungo mchezeshaji.
Karabaka anaenda kwa Mgunda?
NdiyoKarabaka anaenda kwa Mgunda?
Weka taarifa kamili ili ambao hatutumii Simba app tujue kilichojiliKarabaka anaenda kwa Mgunda?
Nasikia kuna billion 1 ya yanga kama feisal aliuzwa ndani ya nchi katikati miaka mitatu ya mkataba wake wa kwanzaTETESI.
Feisal salum mbioni kujiunga na simba.
Aishi manura mbioni kurudi Azam.
Simba wanaweza wakafanya Swap deal la Aishi manura na Feisal salum.
Na fedha .
Naendelea kufuatilia hili saga kwa Karibu.
leta news, nakuamin insiderJoshua Mutale anaweza kuuzwa kwa mkopo na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji mwingine
Simba haina shida sana kwenye beki kama kiungo. Wa focus kwenye kiungo zaidi, 6 na 10Simba wana Haha sana kumtafuta kiungo No 10.
Wanasahau kuwa wana mapungufu kwenye Beki wa kati na Kiungo Mkabaji No 6.
Wanamahitaji
No 5.
No 6.
No 10.
Wakipata watu kwenye Maeneo hayo basi ubingwa wa CAF CC huu hapa
Yanga kwenye hiyo biashara anavuta 1 billion TshISHU YA FEISAL SALUM IMEPAMBA MOTO, OFFER YA KWANZA DOLLAR 230,000/= IMEPIGWA CHINI,
NAONA OFFER YA PILI DOLLAR 300,000/= PLUS AIR MANULA IMEPELEKWA LEO! NATUMAI AZAM HAWATOZINGUA KWAKUWA SIMBA NA AZAM NI KAMA NDUGU!!!
Hawalambi hata sh 10Yanga kwenye hiyo biashara anavuta 1 billion Tsh