paco anthony
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 516
- 831
Mwamba wa taarifa za ukweli.....Sasa elie mpanzu kashatua Simba ngoja ucheki mavitu vitu1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans
2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakiwa na Simba SC
3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji
4. Kiungo raia wa DRC, Harvey Onoya anatakiwa na Yanga
Kiungo mkabaji mtarajiwa Young AfricansNi nani huyu!?
Sahihi mkuuMwamba wa taarifa za ukweli.....Sasa elie mpanzu kashatua Simba ngoja ucheki mavitu vitu
Alishachoka huyoKama taarifa za bwalya ni za kweli basi black star imejipanga
Wanataka wawachukue kwa Bei rahisiwewe shabiki wa yanga unapata wapi mamlaka ya kutupangia sisi wachezaji wa kuwaacha?
Mikisoni bonge kwani ilikua vipi. Au kunya anye kuku tu?Ila utopolo wana chuki mbaya sana na simba na rais wao ana roho mbaya kama ya magaidi wa hamas, eti nyinyi azam tunawapa mkataba huu msimpeleke feisal timu ya simba tu, nyingine ruksa ..
Dube siyo galasa, anafanya kila kitu kwa usahihi ni bahati tu hajapata, na uwezi kumhukumu mchezaji kwa mechi 7 ambazo hakumaliza dakika 90!ni kweli hayo magarasa hayana tofauti na dube mechi ya 8 hii hana goli hata la offside?
Lawi aje tu, maana Karaboe hata haeleweki.Beki Lameck Elias Lawi anaweza kusajiliwa Simba dirisha dogo au kubwa. Yanga na Azam pia zinamfukuzia
Siyo mbaya. Inazibwa nafasi ya KaziLawi aje tu, maana Karaboe hata haeleweki.
Kuna kitu hakiko sawa. Kikiisha ataanza kufunga. Hopefully leo au mechi ijayoDube siyo galasa, anafanya kila kitu kwa usahihi ni bahati tu hajapata, na uwezi kumhukumu mchezaji kwa mechi 7 ambazo hakumaliza dakika 90!
Wanaopiga makelele kuhusu dube ni makolo, wanaijua vizuri shughuli yake🤣
Kocha kalogwa kampanga Musonda🚮Kuna kitu hakiko sawa. Kikiisha ataanza kufunga. Hopefully leo au mechi ijayo
😆😆Kocha kalogwa kampanga Musonda🚮
kwahiyo kikao kilifanyika bila kocha?kocha Gamond, baachi ya wachezaji wa Yanga. Kikao Cha Jana usiku kocha aligoma kuhudhuria