Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Kilichofanyika kwenye usajili wa Mwalimu ni dharau na fedheha kwa mashabiki wa simba. Kama viongozi wao ni waungwana, basi wajitokeze hadharani kuomba radhi.
Hii ishu imewavunja moyo sana mashabiki wa Simba.
 
Itabidi Yanga alipwe pesa pia. So dau la Fei kwenda Simba ni pesa ndefu Simba itatoa kuliko Yanga wakitaka kumrejesha. Ila yote inawezekana sababu hakuna kinachosindikana mbele ya fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…