Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Kocha Fadlu Davids kwenda Yanga, aisee mbona kama Yanga ya Hersi inaelekea kubaya zaidi katika kufanya scouting.
 
Kocha Fadlu Davids kwenda Yanga, aisee mbona kama Yanga ya Hersi inaelekea kubaya zaidi katika kufanya scouting.
Fadlu sio kocha mbaya mkuu. Pia kocha anaweza akawa na CV ya kawaida ila baadae akaja akafanya maajabu. Anaweza akawa na CV kubwa kama yule Pedro ila akaja akashindwa akili na kocha wa kawaida kama Moalin.
 
Mkataba wake umeisha. Makubaliano ya kuongeza yalishindikana. Mwamba akaamua kujiunga na timu ya nchini kwake Zimbabwe ya Hardrock Fc iliyopanda ligi kuu.

Kila la heri kwake.
Bado mashabiki tunasubiri fagio lipite. Maproo wengi ukimuondoa Okello na Diarra wanatakiwa kufyekwa ili wasajiliwe wachezaji wenye msaada wa kutosha kwenye timu. Na wazawa nao kuna baadhi yao wanakula tu mshahara. Uwanjani hawaonekani. Fyeka wote hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…