Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Jiepushe na tetesi za vijiwe vya kahawa.
 
Inno ni mzuri ila acha aende...

Impact yake ni wastani.
Acha masihara mkuu, huyu anatakiwa afit kwenye mfumo, angalau aangaliwe msimu huu. Anaweza kuwa kiungo tegemezi. Tunaenda kupambana Africa sasa, na mtani anajikoki haswa.
 
Umeona hii hatari...

Vuta picha Oura, Rushin wote wasepe kwa kigezo cha offa nzuri...

Tunaanza upya...

Utopolo siwapendi ila wanatushinda kwenye hili la kushawishi wachezaji wazuri wabaki...
Acha tu mkuu. Tunarudi kwenye trial and error za kina jobe na mlete mzungu badala ya kuimarisha kikosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…