- Thread starter
- #481
Bado halijakamilika, yuko standby list Incase dili la kwanza likigoma. Anatokea Ivory Coast, namba 5katokea wap mkuu, namb ngap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado halijakamilika, yuko standby list Incase dili la kwanza likigoma. Anatokea Ivory Coast, namba 5katokea wap mkuu, namb ngap?
Ok chiefSiyo huyo
.Huyo mpaka atie saini kwanza ndio itakuwa rasmi. Hata kamati ya usajili inajua hivyo. Hao wachezaji wa pande hizo wanakuwaga na ofa kibao nyuma ya pazia. Simba bado wana kumbu kumbu nzuri ya kilichowakuta kwa Morlaye Sylla miaka michache tu iliyopita.
Bado Elia Mpazu...Rasmi sasa Charles Ahoua ametambulishwa
Naona boss kakasirika.sana. [emoji23] naskia kuna mtu kaitwa dubai. Ni nani huyo mkuu ?Hamza to SSC?
Ndo raha ya mpira wa bongo🤣🤣🤣 mi naona waendelee tu kujaza masifaIla hizi timu zetu pendwa bana kipindi cha usajili huwa nachekaga sana,watu wanakuja na majina yakutishatisha tu mara Enrinco kizumba(maradona mtupu),Jean Mokoena,philiph Kelechi Obinah(changanya Neymar wawili) vurugu tupu,ligi ianze sasa utaskia huyu tumepigwa.
Sawa usajili bahati nasibu wadau mpunguze mbwembwe.
😁 Anataka kulipa kisasi,, mambo ya BM yanataka kujitudia? Wote tupeleke jina 😁😁Naona boss kakasirika.sana. [emoji23] naskia kuna mtu kaitwa dubai. Ni nani huyo mkuu ?
Mimi ni outsiderBado Elia Mpazu...
Inaonekana wewe ni insider.
Still bado naamini ulichoandika awali.Mimi ni outsider
Na Mangungu. 😀😃😄😁Naomba nikuulize mkuu...singida blck star inamilikiwa na nani?
Chama huyo mkuu.Naona boss kakasirika.sana. [emoji23] naskia kuna mtu kaitwa dubai. Ni nani huyo mkuu ?
Mwamba namwamini kwa sasa, tetesi zake ni kweliBado Elia Mpazu...
Inaonekana wewe ni insider.
Huyu mja yuko vizuri.Mwamba namwamini kwa sasa, tetesi zake ni kweli
😀😀😀😀 nakumbuka usajiri wa Mbuyu Twite siku anawasiri wakamvalisha jezi mgongoni imeandikwa RageNdo raha ya mpira wa bongo🤣🤣🤣 mi naona waendelee tu kujaza masifa
Duh! Mkuu si uwe unaweka nyama kidogo. Hata niki Google Hamza si atakuja yule wa ubalozi?😀Hamza to SSC?
Muda huu wa usajili ndio kauli zenu hizi, ligi ikianza munaanza kumtukana Mangungu.Huu msimu kama itakuwa hivyo, Simba watakuwa wameonyesha umakini sana.
Ndio muda wada wao wa kutamba huu, waache tu.Simba ina mkurugenzi wa Ufundi ??? au Riasi wa heshima ndio mkurugenzi wa Ufundi
Kwa miaka 4 iliyopita Simba ilikuwa inafanya makosa makubwa kwenye usajili mkielezwa mlikuwa mnabisha
now angalieni msije mkaendelea kufanya makosa yaleyale
Kwaio.mlitaka mtambe nyie tu..uchawi wa kibinafsi huo.Ndio muda wada wao wa kutamba huu, waache tu.