Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Huyo mpaka atie saini kwanza ndio itakuwa rasmi. Hata kamati ya usajili inajua hivyo. Hao wachezaji wa pande hizo wanakuwaga na ofa kibao nyuma ya pazia. Simba bado wana kumbu kumbu nzuri ya kilichowakuta kwa Morlaye Sylla miaka michache tu iliyopita.
.
 
Ila hizi timu zetu pendwa bana kipindi cha usajili huwa nachekaga sana,watu wanakuja na majina yakutishatisha tu mara Enrinco kizumba(maradona mtupu),Jean Mokoena,philiph Kelechi Obinah(changanya Neymar wawili) vurugu tupu,ligi ianze sasa utaskia huyu tumepigwa.
Sawa usajili bahati nasibu wadau mpunguze mbwembwe.
Ndo raha ya mpira wa bongo🤣🤣🤣 mi naona waendelee tu kujaza masifa
 
Vp feisal salum atasinya simba kweli?
 
Simba ina mkurugenzi wa Ufundi ??? au Riasi wa heshima ndio mkurugenzi wa Ufundi
Kwa miaka 4 iliyopita Simba ilikuwa inafanya makosa makubwa kwenye usajili mkielezwa mlikuwa mnabisha
now angalieni msije mkaendelea kufanya makosa yaleyale
Ndio muda wada wao wa kutamba huu, waache tu.
 
Back
Top Bottom