Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Unammonitor Msaliti? Acheni kuharibu carrier za watu. Wewe umejipachika uchambuzi hapa Nani kakusonga wakati kuna Taarifa unalisha watu Matangopori?Mkopo hasa ili waendelee kummonitor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unammonitor Msaliti? Acheni kuharibu carrier za watu. Wewe umejipachika uchambuzi hapa Nani kakusonga wakati kuna Taarifa unalisha watu Matangopori?Mkopo hasa ili waendelee kummonitor
Duh..we mchawi, nani kakuita hapa? Kumbe kuna watu mnaumia sana roho kisa jamaa kuleta habari tena sio kwamba ni kweli ni tetesi tu,Unammonitor Msaliti? Acheni kuharibu carrier za watu. Wewe umejipachika uchambuzi hapa Nani kakusonga wakati kuna Taarifa unalisha watu Matangopori?
Mlimpa uraia mtu mpumbavu asie na shukrani na anayejiona staa na kuwaona wengine wajinga.Kibu denis kunani tena
Umemvunjia heshima sana huyu jamaa. Sisi wana JF wengi tunamtambuaa kuwa jamaa ni inner circle kabisa ya Simba. Possibly jamaa ni Mo kabisa huyu.Unammonitor Msaliti? Acheni kuharibu carrier za watu. Wewe umejipachika uchambuzi hapa Nani kakusonga wakati kuna Taarifa unalisha watu Matangopori?
Siumii chochote Ila kumsagia kunguni Mtu ambaye anajitafuta ni zaidi ya uchawi.Duh..we mchawi, nani kakuita hapa? Kumbe kuna watu mnaumia sana roho kisa jamaa kuleta habari tena sio kwamba ni kweli ni tetesi tu,
hizo roho za kichawi na za kimaskini. Badilika ewe mchawi.
Una matatizo, siyo bureUnammonitor Msaliti? Acheni kuharibu carrier za watu. Wewe umejipachika uchambuzi hapa Nani kakusonga wakati kuna Taarifa unalisha watu Matangopori?
.Umemvunjia heshima sana huyu jamaa. Sisi wana JF wengi tunamtambuaa kuwa jamaa ni inner circle kabisa ya Simba. Possibly jamaa ni Mo kabisa huyu.
Hili nilitarajia...Taarifa zilizopo ni juu ya kuumia Kwa Ayoub Lakred na atakaa nje si chini ya wiki nne. Hii inaweza kuwa fursa ya Manula kurejeshwa kikosini, kusajili mzawa au kumsajili kipa mwingine toka nje.
SalimTaarifa zilizopo ni juu ya kuumia Kwa Ayoub Lakred na atakaa nje si chini ya wiki nne. Hii inaweza kuwa fursa ya Manula kurejeshwa kikosini, kusajili mzawa au kumsajili kipa mwingine toka nje.
Mkuu , msg iwafikie wahusika, hatumtaki manula. Ikae kwenye vichwa vyao.Taarifa zilizopo ni juu ya kuumia Kwa Ayoub Lakred na atakaa nje si chini ya wiki nne. Hii inaweza kuwa fursa ya Manula kurejeshwa kikosini, kusajili mzawa au kumsajili kipa mwingine toka nje.
Manula wa nini tena Simba. Si bora wamrudishe Feruzi wakati wanamsikilizia Ayoub mpaka dirisha dogo.Mkuu , msg iwafikie wahusika, hatumtaki manula. Ikae kwenye vichwa vyao.
Manula kashampiga misumari Ayoub. Wamwache tu aende zake, Salim na mwenzie wanatoshaTaarifa zilizopo ni juu ya kuumia Kwa Ayoub Lakred na atakaa nje si chini ya wiki nne. Hii inaweza kuwa fursa ya Manula kurejeshwa kikosini, kusajili mzawa au kumsajili kipa mwingine toka nje.
Naona mzee umekuja kutushtua kidogo
Huyo pichani ni nani aises ?Naona mzee umekuja kutushtua kidogo
Elia Mpanzu wa AS VitaHuyo pichani ni nani aises ?