Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha dogo ligi kuu Tanzania bara 2023/2024

Nyakati zina_change. Barcelona wenyewe TU La_Masia yao imeshindwa kuwabeba.
 
Nyakati zina_change. Barcelona wenyewe TU La_Masia yao imeshindwa kuwabeba.
Kwani Barca kuna maingizo mangapi ya vijana wadogo kwenye timu yao ya wakubwa....

Njoo Madrid timu inayo tengenezwa sasa hivi ni ya vijana watupu,juzi wamevuta dogo wa Kibrazil ana miaka kumi na sita. Haya njoo kwa Simba kuna vijana ww unawaona wakipewa nafasi....
 
Naona watu wanategeana kutangaza wachezaji wapya au ndo wanasubiri sikukuu ziishe?
 
Nyakati zina_change. Barcelona wenyewe TU La_Masia yao imeshindwa kuwabeba.
Barca inapita ktk wakati mgumu sana kiuchumi na kipindi hikihiki kigumu, hujawahi iona Barca ikifanya vibaya La Liga, zaidi ya 60 to 70 percent timu imejengwa na La Masia, ndo wamebeba La Liga na ndio wanaisumbua Madrid na Atletico huko Spain.
 
Sankara Karamoko - yanga
 

Attachments

  • AE636ABD-99F5-447A-B249-6FC9225C9CD7.png
    475.9 KB · Views: 8
Sankara Karamoko - yanga
Huyo Karamoko akija Yanga, atatusaidia sana. Kuhusu Msuva, sina wasiwasi naye. Bado ana uwezo wa kuisaidia Yanga kwenye mechi za ndani, na pia zile za Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…