hata Kelvin John anacheza hilo unaloliita soka la kulipwa. unamfahamu Mohamed Aboutrika?, jamaa kacheza mpira Afrika hadi anaretire. je unaifahamu ishu yake na Real madrid?.Feisal angekuwa wa muhimu saana angeenda kucheza soka la kulipwa huko nje na sio kubaki hapa hapa.
Ni wakati wake Huu.Kibongo bongo, Fei Toto ni mchezaji mzuri! Hilo halina ubishi. Ila asikuzwe kupitiliza kiasi cha kupewa utukufu asiostahili.
Mashabiki wengi wa simba wanamuona kama ndiyo suluhisho lao la muda mrefu! Ila kwa timu kama Yanga, Fei Toto ni mchezaji tu kama walivyo wachezaji wao wengine!
Yaani hakuna shabiki wa Yanga anayemlilia Fei Toto! kwa sababu wachezaji wanaocheza namba yake pale Yanga, wanafanya vizuri zaidi yake. Ila kwa simba, Fei Toto bado ni lulu. Kwa hiyo ikitokea akasajiliwa, hakika watafurahi sana.
Ndo yeyehuyo ndio Malonga au?
Kubishana na Huyo jitoe akili kwanza.Kichaa
Kwahiyo kama ligi ina thamani sababu ya Simba kufanya vizuri, basi mpe thamani Yanga aliyechukua ubingwa mbele ya Simba inayofanya vizuri kimataifaBila kufanya vizuri kimataifa hiyo thamani unayoisema unaipataje? Thamani ya ligi ni kupitia kufanya vizuri mechi za kimataifa.
Moja ya sajili nisiotaka ipite ni hii! Sina imani kubwa na huyu mchezaji kwa upande wanguErnest Malonga anatakiwa na SimbaSC
Tusubiri tumuone labda anaeza kuwa mzuri, hii sajili bora iishie kuwa trial tu , roho yangu inagoma sijui kwaniniViongozi wa simba wako serious kweli na usajili?
Mnashindwa kumleta Msindo mnatuletea Malonga?
Hili li timu lita struggle sana...
Backline ya timu wote hakuna kitu bado mnapata nguvu ya kusajili kwa kuokota?
Maanina wallah.
Hoja si thamani ya club. Hoja ni thamani ya kombe la ligi vs nafasi za juu za mashindano ya club bingwa Africa.Kwahiyo kama ligi ina thamani sababu ya Simba kufanya vizuri, basi mpe thamani Yanga aliyechukua ubingwa mbele ya Simba inayofanya vizuri kimataifa
Na ndiyo maana nikasema, ukimpa thamani Simba, basi na Yanga mpe thamani. Ukiona Yanga na makombe yake haina thamani, basi na sisi tutaiona Simba na rank yake haina thamani
NB: Wote tumeishia robo fainali, wote tumefika fainali shirikisho, wote tunaanzia round ya sawa msimu huu.
Unaongelea kipato? Nyie kuingia robo fainali zaidi ya mara 5, pesa mlizopata ziko wapi? Zimewasaidia nini mpaka sasa? Nani anazikumbuka?Hoja si thamani ya club. Hoja ni thamani ya kombe la ligi vs nafasi za juu za mashindano ya club bingwa Africa.
Yanga ilipofika robo fainali na kuchukua kombe NBC mashindano yapi yalimlipa vizuri kimapato?
He? Ok, Kwa maswali ya aina hii tuishie tu hapa boss. Tukubali kutokukubaliana na kama hili haliwezekani basi upo sahihi kuwa ligi ya NBC ina thamani kuliko mashindano ya klabu bingwa Africa.Unaongelea kipato? Nyie kuingia robo fainali zaidi ya mara 5, pesa mlizopata ziko wapi? Zimewasaidia nini mpaka sasa? Nani anazikumbuka?
Hawa jamaa sitaacha kuwwatukana maisha..ni malimbukeni ya Dunia ya malimbukeni wnaayoishi sjui sayari GaniHe? Ok, Kwa maswali ya aina hii tuishie tu hapa boss. Tukubali kutokukubaliana na kama hili haliwezekani basi upo sahihi kuwa ligi ya NBC ina thamani kuliko mashindano ya klabu bingwa Africa.
Hahaha, Nenda nao taratibu tu mkuu. Ni mambo ya soka na ushabiki tu.Hawa jamaa sitaacha kuwwatukana maisha..ni malimbukeni ya Dunia ya malimbukeni wnaayoishi sjui sayari Gani
Hakuna sehemu nimesema ligi ya NBC ina thamani kuliko klabu bingwa Africa. Nilichosema mpe thamani Yanga, na Simba atapewa thamani. Usipompa thamani Yanga, na Simba hatapewa thamani. Hii ni kulingana na comments zetu za mwanzo tulipoanzaHe? Ok, Kwa maswali ya aina hii tuishie tu hapa boss. Tukubali kutokukubaliana na kama hili haliwezekani basi upo sahihi kuwa ligi ya NBC ina thamani kuliko mashindano ya klabu bingwa Africa.
Ok mkuuHakuna sehemu nimesema ligi ya NBC ina thamani kuliko klabu bingwa Africa. Nilichosema mpe thamani Yanga, na Simba atapewa thamani. Usipompa thamani Yanga, na Simba hatapewa thamani. Hii ni kulingana na comments zetu za mwanzo tulipoanza
πππ Umemeza dawa za asubuh?Mama yako mzazi na baba yako mzazi wote ni vichaa walitombana wakakutoa wewe kichaa pro max. Kumamayo usinizoee sawa uwe na adabu na wakubwa zako. Stress zako za kukosa kazi na kuwwatukana wenye diploma usiniletee Mimi...njoo pm nikupe kazi we mbwa uishi mjini usije ukafa na njaa wewe bladfool.