Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Kwamba hao wote uliowataja na kama wana ubora huo unaotaka waulete Simba hawana mikataba huko waliko? Unadhani ni kujichukulia tu?
 
Mbona Asec wanabeba makombe ya kwao kila mwaka? Na kila mwaka wapi champions league au confederation cup kwa hatua za juu?
Hivi unavyowaona Uto kwa sasa na Mnyama, ubingwa wa ndani unawatosha?! Huko CAF huwa wanajikongoja kwenye CAF Conf, na mara nyingi huwa wanaishia Robo ukiondoa mwaka juzi ndipo walifika Nusu, na msimu wa 2023/24 ambao walifika Robo ya CAF Champions mbele ya Wydad mbovu na Mnyama aliyekuwa anajikongoja!
 
Reactions: K11
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…