Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hyo ni ligi baada ya Qatar super league na sio daraja la 2 ni kama ligi daraja la kwanza. Ila Sasa ulivyoitanabaisha kama ametoka ligi ya wachimba chumvi huku frog fc mkimsajili mchezaji kutoka ligi ya zanzibar na kuona ni kawaida😂
 
Kuna uwezekano wa mchezaji mpya kutambulishwa na Yanga ndani ya siku hizi mbili hasa kwenye mchezo dhidi ya Ryon Sports ya Rwanda
 
Oya mzee mwenzangu frank asink vip huko
Amesajiliwa Yanga kwa mkopo wa miezi 6 akitokea Singida Black stars kuchukua nafasi ya Yao Kwasi ambaye bado ana miezi isiyopungua minne ili arejee kwenye hali yake ya kawaida. Na tayari yupo Kigali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…