Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Hichilema unaonewa wivu na Husda hata na Uzi wako huu...aise umaskin mbaya sana πŸ˜‚

Ngoja leo nikuige kidogo nionje ladha ya kutukanwa na kufatwa na mapanga kisa kusema Feisal anaenda Simba

Issa Fofana to Azam ...soon deal to be completed.
Nilishakuambieni kitambo sana "endeleeni kupiga nyeto ila Feisal hachezi Simba msimu huu ".
Mukaja na makasiriko yenu.......... ooh elezea kisomi, mala huna pesa na dharau za kila rangi, sasa kiko wapi?

Simba munampenda Feisal, lakini kijana hana ndoto ya kuvaa rangi za kilingeni, hivyo endeleeni kupiga nyeto tu.
 
Mimi injinia wa mchongo na klabu yangu ya yanga tunapenya humo humo tunachangia milioni 100 kwa CCM....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…