John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Kwani kabla ya kwenda simba alikuwa katoka timu Gani ? Watu hamuelewi sijui hata maana ya rumours au tetesi kwamba kila anachoandika hapa ni sure....😂... Hichilema kweli una kazi kubwaHuyu mbumbumbu anawapumbaza mbumbumbu wenzake.
Fadlu wala hawezi kuwa coach wa Raja
Kwani kabla ya kwenda simba alikuwa katoka timu Gani ? Watu hamuelewi sijui hata maana ya rumours au tetesi kwamba kila anachoandika hapa ni sure....😂... Hichilema kweli una kazi kubwa
Ha ha ha naona mkuu unaendeleza kugonga nyundo za kichwa.Fadlu hawezi kuwa coach wa Ahly wala hawajaonesha interest nae
Yaani hata mimi imenishangaza kwa kweli. Kwa CV ipi au matokeo gani ambayo anayo hapa Simba hata kuwashawishi hao maboss wamchukue?Naona ndugu yako kila akitoa boko unaye.
Binafsi nimestuka sana kuskia Al ahly wanamtaka Fadlu.
Huyu jamaa ni mbumbumbuHa ha ha naona mkuu unaendeleza kugonga nyundo za kichwa.
Labda wanamtaka akawe ball boy wao.Huyu jamaa ni mbumbumbu
Anadhani hapa jukwaani yamejaa mazuzu tu
Hivi kweli Fadlu aongoze bench la Ahly kweli?
Huyu coach wa Mutale ndo akawaelekeze akina Reda Slim, Mohamed Hany, kalaba Rami Rabia, Ally Malool
Mbumbumbu wanajua kutafuta daraja Kwa nguvuLabda wanamtaka akawe ball boy wao.
Eti Fadru anatakiwa na ahly daah hatari sana.Mbumbumbu wanajua kutafuta daraja Kwa nguvu
Wamwachie hata bure. Hakuna kocha hapoFadlu Davids anatakiwa na Raja Casablanca, Kaizer Chiefs na Al Ahly. Uwezekano wa kuondoka ni mkubwa sana
Huna akiliAcha uswahili wako, hakuna timu Afrika yenye bajeti ya 370 billions
Kwanini?Huyu mbumbumbu anawapumbaza mbumbumbu wenzake.
Fadlu wala hawezi kuwa coach wa Raja
nyokonyokooo, kiko wapi sasaHuyu mbumbumbu anawapumbaza mbumbumbu wenzake.
Fadlu wala hawezi kuwa coach wa Raja
Unapenda sana kuropoka upumbavu wewe, kati ya wewe na hao nani mbumbumbu, wewe ndio unapenda kuwapumbaza utopolo wenzioHuyu mbumbumbu anawapumbaza mbumbumbu wenzake.
Fadlu wala hawezi kuwa coach wa Raja
anafaa kabisaAnakuja Mgunda