Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ungetupa na mifano mkuu
 
Mbona wachezaji wa ndani na WA nje walioachwa wanastahili kuachwa

Kumbuka kocha alisema timu Haina wachezaji wenye ubora anataka uongozi umletee wachezaji wenye ubora na kuwaacha wasio Bora,hii pia ni kwa mujibu wa ripoti ya kocha na pendekezo la kocha nani aachwe na nani asiachwe


Wa nje

Nouma
Ngoma
Okajepha

Wa ndani

Kijili
Huselsein Kazi
Omary Omary
Manula


Yani hao ndo unalalamika kwa kuachwa kwao?
 
Panga lililopita hakuna kosa kabisa mkuu...watu tu Wana mihemko...kama Simba ndio staili yetu hii basi tuende nayo hivyo hivyo tuone
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
 
Aviola FC
Miso Misondo FC
Ngungu Boy FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…