Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Malizia mkuu
Ubabe ubabe tu...vita ya watu wenye pesa haijawahi kuisha vizuri...na wachochezi ni machawa ....wangetumia ubabe huu na kutunisha msuli kipesa kuchukua wachezaji kwa timu za afrika kaskazin ingekua na maana pengine Tanzania tungekua tunapata wachezaji Bora kabisa ..ngoja nidhibitishe kwanza taarifa hizi 😀
 
Habari ndio hiyo...hujiuliz kwanini hajachukua muda kusain ...unashangaa mshahara 25?
Kuna mtu anaandaliwa mshahara 65+ huko sijui kama atachomoa kuendelea kubaki kwenye hio timu...
Si kweli kaka, hizi ni porojo za viongozi wa Simba

Zimbwe hana thamani ya million 60 thaman kama hiyo wanayo akina sowa siyo zimbwe

Unakumbuka mwaka juzi yanga walivunja mkataba wa dube kwa bei gani?
 
Habari ndio hiyo...hujiuliz kwanini hajachukua muda kusain ...unashangaa mshahara 25?
Kuna mtu anaandaliwa mshahara 65+ huko sijui kama atachomoa kuendelea kubaki kwenye hio timu...
Pacoma zoazoa, dick job hawajasinya mikataba mipya, chama ndo kasepa azam,Aziz ki kasepa, ....fei toto ...?
 
Si kweli kaka, hizi ni porojo za viongozi wa Simba

Zimbwe hana thamani ya million 60 thaman kama hiyo wanayo akina sowa siyo zimbwe

Unakumbuka mwaka juzi yanga walivunja mkataba wa dube kwa bei gani?
Habar ndio hio ndugu yangu
 
600 hajapewa Conte atapewa Zimbwe?
Mzee baba.kakataa kwenda kaizer chiefs , kakataa mkataba wa Simba, unafikiri kwanini kasain haraka yanga? Halafu mbona hela ndogo hio ..tena inalipwa kwa.mafungu..

NB: konte kapewa 500, nayo atalipwa kwa.mafungu ..GSM anamwaga hela...na umesikia rais anasema anamzimia na kumhusudu zimbwe au hujasikia mzee...
 
Tanzania hakuna sheria inayouhusu wachezaji wa nje. Kanuni za TFF ndizo zinazozuia timu moja kuwa na wachezaji zaidi ya 12 ambao siyo raia wa Tanzania, na kikomo cha jumla ya wachezaji 30 tu kwenye timu moja
Sasa mbona yanga kama watazidi hao 12 wachezaji,
Au wewe unaonaje
 
Uzi umejawa na jazba za mashabiki wa Simba. Jamaa wanapita ktk maumivu makali sana.
Furahia maisha dogo maisha ni mafupi ondoa umaskin.kwenye maisha utaacha kuchukulia kila kitu serious..nzengeli max anaenda Simba ...hapo vipi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…