Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mpenja be like: Dumbia anaitupa kwa Kouma (ou =u)
 
Sasa hivi ukisoma tetesi kwa mchambuzi kuwa Simba inataka mchezaji we jua ni Yanga.
 
Ndo mimekuja kuelewa game linavyoendeshwa kipindi hiki Cha usajili.

Kama mchezaji anatakiwa na Yanga, waandishi (sijui wanalipwa??) wanazusha eti Simba wanamtaka, baadae Yanga wanamsajili, halafu inaonekana Yanga wamewapokonya Simba mchezaji.

Aiseee!!!! Asante sana mkuu felakuti Kwa kunifungua macho na akili. Ulilisema hapo juu, nikafatilia huko insta, m*am*ae

Kule insta mtu ninaemwamini japo kidogo ni Mick
 
Kama hiki kijamaa πŸ˜‚πŸ˜‚..na wanywa supu watamuamini .....such a cheap speculation πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20250722-223223.png
    1.1 MB · Views: 24
Yan ni vichekesho sjui wamelipwa sh ngapi Hawa waandishi uchwara...Wana njaa kweli kweli...mtu anasajiliwa ndani ya dakika 15 πŸ˜‚πŸ˜‚ Micky ndio mana wanamchukia sana , yule msomali Kuna kipindi alijaribu kukutana nae amrubuni sijui naona ishu ikagonga mwamba ..Ghana na Nigeria ni watu wanaojielewa sana...pia mkuu mfuatilie jamaa anajiita heavyweight dullah mwandishi lakin amejikita kwa ajili ya Simba tu ila anaongea vitu point sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…