Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Msimu uanze muanze kelele zenu GSM anaharibu ligi,baadae muanze kelele za mangungu ajihudhuru.
Uanze hata kesho sisi tuna shida Gani ...Simba Haina mbwembwe kwanza Hadi saivi hatujasajili ..naskia mmetuma ofa kuhitaji Saini ya Rodrygo ..mpanzu nae kapewa signing fee ya bilioni 1.3 na mshahara wa 45 million kwa mwezi...
 
Kama yanga wameweka dau kubwa kumchukua mpanzu unataka mpunzu asiende yanga kisa unaita kukomoana?
Kaondoka messi, Neymar,mbape mpanzu ni nani? Simba ni baba yake?
Amekuja kutafuta pesa sio mapenzi na timu.
Mwambie Mo aache janja janja
 
Hakuna cha dau hapo mkuu, story nyingine ni changamsha bwege tu
 
2
Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.
 
Kama yanga wameweka dau kubwa kumchukua mpanzu unataka mpunzu asiende yanga kisa unaita kukomoana?
Kaondoka messi, Neymar,mbape mpanzu ni nani? Simba ni baba yake?
Amekuja kutafuta pesa sio mapenzi na timu.
Mwambie Mo aache janja janja
Nimeshakuambia kua sijakataa ameshasaini huko ..signing fee bilioni 2, mshahara milioni 45..Kuna tatizo au hamtaki tena...si ndio amekuja yanga kutafuta pesa...mpokeeni kesho ...

Na kweli mo ni mjanja sana
 
wamepunguziwa. Wamemuachia kwa $400,000 ambayo imemsajili Sowah
Yan mkuu Mimi nasoma sajili za Sasa sehem tatu tu...kwanza official pages za klabu, pili Micky jnr...na tatu ndugu yangu kabisa Hichilema..Hawa ndio hawajanunuliwa na hersi. Kwaio Sasa naamin kweli sowah anakuja Simba.

πŸ‘‡ Huyu hapa chini ni Micky ..jamaa anakutajia Hadi tarehe...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa nasubiri media puppet wa hersi wakopi na hii

πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹:

Jonathan Sowah to Simba SC is a done deal! πŸ‡¬πŸ‡­βœ…

The Ghanaian striker signs a two-year contract starting August 1, joining from Singida Black Stars.

πŸ”΄ Signed electronically at 23:12 Ghana time last night.

πŸ’° close to $400,000 signing-on fee.

πŸ’Έ Will become Simba’s second highest-paid player.

🦁 Chose Simba over Yanga to work under Fadlu Davids.

Simba fans, rate this signing out of 10! 🌟

#Transfers #AfricanFootball #NguvuMoja
 
2

Project haina Continuity, project gani hiyo. Mmeacha wachezaji kibao. Mfano nyuma defense mtaanza upya kuisuka na moja ya sehemu ngumu kuisuka kwenye timu ni defense maana, wakikosea timu timu inapigwa.
Kikosi cha kwanza cha simba wameondoka wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…