Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Beki Mtanganyika, yupo yule anayechezea JKT Ruvu ana jina la kichaga hivi. Yule dogo yupo vizuri sana. Simba wakimchukua watakuwa wamelamba dume.
 
Simba SC inasajili ovyo bila mipango ndani ya miaka minne hii. Kila ikikosa taji inasajili wachezaji kuanzia 9-12 kwa mkupuo mmoja. Ni ngumu sana kupata muunganiko kwa haraka tena ndani ya msimu mmoja. Kwa namna wanavyosajili ingebidi wajiwekee plan ya mafanikio baada ya miaka 2 au 3 baada ya usajili.
 
Pale kati lilipigwa pira la uhakika siku ya Derby! Pia Aucho pamoja na kuonekana umri unaelekea kumtupa mkono lakini bado mashine sana! Wote hao miwili tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…