Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Wekeni Billion 1 yetu mezani
Mpelekeni huyo FEI
 
Mmmh
 

Attachments

  • Screenshot_20250727_112605_Lite.jpg
    304.3 KB · Views: 24
  • IMG-20250727-WA0072.jpg
    57.1 KB · Views: 21
Hakuna kitu kama hicho mkuu, Singida tayari wameshamuaga Sowah na kubariki usajili wake Simba. Mpanzu ana ruhusa maalum atajiunga na timu muda wowote kwenda kambini Misri...
Kuna taarifa nimeiona sehemu, ally kamwe anasema mpanzu akibaki simba atatoa 10 millions.
 
Kama ni kweli Simba wamefanikiwa kumpata Feisal basi imani yangu inaanza kurudi kwenye huu usajili,Feisal ni mchezaji mzuri sana halafu mpambanaji
 
Wekeni Billion 1 yetu mezani
Mpelekeni huyo FEI
Usiwaamini wasemaji wa hivi vilabu. Sell on clause ni rahisi kuiepuka kwa mchezaji mwenyewe kuvunja mkataba ili timu isionekane imemuuza. Kiufupi ni Azam atapewa hela amuachie msimu huu au ataondoka bure msimu kesho kwenda Simba. Atapewa jezi namba 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…