Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Fei anatosha
Hapana simba inatakiwa iwe na namba kumi wawili wazuri na siyo wa kukaa benchi, kama wakimuuza ahoua watafute mwingine wa kusaidiana na feisal, kuna yule john bosco nilisikia anaenda simba dili lake limeishia wapi
 
Ili FEI auzwe Yanga laZima avune 1b
Je Azam wapo tayari kufanya biashara ili kuinufaisha Yanga
Ninsa uhakika 💯 FEI hawezi kucheza Simba msimu mashabiki mbumbumbu Wacha wadanganye
 
Wewe ni shabiki wa Simba wala huna habari za uhakika
Uko hapa kuipamba Simba
Kama unasema endapo FEI akiuzwa Simba Yanga hatavuna 1b
Hapo ndo nimekudharau kabisa
Sawa, mimi shabiki wa Simba na Sina habari za uhakika. Swali" Mbona huko hapa unafuatilia habari zangu kila mara kama ni za uongo?
 
Me wala sikufautilii wewe
Huu Uzi una wachangiaji wengi waelewa.
Jamii forums ni jukwaa huru ni hapa kusoma na kutoa maoni
Hapa nakukemea acha kupotosha
Nina uhakika muda sio mrefu utaumbuka Kwa kuwaaminisha mbumbumbu ati FEI atacheza Simba na ukijua mkataba ulivo na Bado Azam wanahitaji FEI kwenye project ya coach Ibenge
 
Hapana simba inatakiwa iwe na namba kumi wawili wazuri na siyo wa kukaa benchi, kama wakimuuza ahoua watafute mwingine wa kusaidiana na feisal, kuna yule john bosco nilisikia anaenda simba dili lake limeishia wapi
Kwani ni official Fei kasajiliwa? Maana mnaongea kama ni offical.
 
Azam wana project Yao na wapo serious msimu huu
Hawawezi kumtoa key player wao ili mashabiki wa Simba wafurahie
Uongozi wa Simba unafanya mwendelezo wa kuwapumbaza mashabiki Kwa propaganda nyepesi
Wachezaji wapo wengi washushe vyuma waache maneno
 
Coach Ibenge, project , 🤣
 
Azam wana project Yao na wapo serious msimu huu
Hawawezi kumtoa key player wao ili mashabiki wa Simba wafurahie
Uongozi wa Simba unafanya mwendelezo wa kuwapumbaza mashabiki Kwa propaganda nyepesi
Wachezaji wapo wengi washushe vyuma waache maneno
Mkuu, nikuulize, wewe ndo kiongozi wa Azam, kama mchezaji kaamua hataongeza mkataba(zingatia neno kama), ofa imeletwa dola 500,000 utachukua hatua gani? Achana na mambo ya Simba, assume hata hiyo ofa haijaletwa na Simba. Utamuuza au utampa ibenge?
 
Wewe uliongea na FEI lini akakwambia hataki kuongeza mkataba Azam
 
Nimekuwekea kabisa angalizo kuwa uzingatie neno kama hatataka kuongeza, ni kama niliiona akili yako wakati nakuuliza nikaona nirahisishe swali but still umekuja pale pale nilipopatolea angalizo. Ok, sawa, upo sahihi mkuu.
 
Washauri wanasimba wenzako wasajili wachezaji waache kujificha ati ni Siri mara kimbunga kinakuja
Usajili wa Sasa ni biashara huru na wazi, wachezaji wazuri wanasajiliwa Kwa pesa na sio Siri
Haya hata wasajili FEI kwani ana maajabu Gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…