The number one media journalist puppet wa yanga.Hans ndio alivyowadanfanya?
Anawaokota sana
Upo sahihi mkuu, tutafata ushauri wako. Hata huyo Fei ni kama unavyosema hana maajabu. Tunatakiwa tukusikilize wewe.Washauri wanasimba wenzako wasajili wachezaji waache kujificha ati ni Siri mara kimbunga kinakuja
Usajili wa Sasa ni biashara huru na wazi, wachezaji wazuri wanasajiliwa Kwa pesa na sio Siri
Haya hata wasajili FEI kwani ana maajabu Gani
Kama vipi wanywe sumu tu kama wanaumia sana..au unajitupa kwenye gorofa tu kwishhhhaaa...Leo naona nimeleta tetesi ambayo baadhi hawapendi kuisikia. Ila niseme tu, watu wajiandae kisaikolojia. Matusi hayatasaidia chochote. Mimi niliombwa nilete tetesi hivyo nikiletacho hapa ni kile kilichoko jikoni
Umekuja kuwapumbaza mashabiki wa mbumbumbu fc wala sio tetesiLeo naona nimeleta tetesi ambayo baadhi hawapendi kuisikia. Ila niseme tu, watu wajiandae kisaikolojia. Matusi hayatasaidia chochote. Mimi niliombwa nilete tetesi hivyo nikiletacho hapa ni kile kilichoko jikoni
Simu mtakunywa mbumbumbu mnaodanganywa kumsajili FEI hewaKama vipi wanywe sumu tu kama wanaumia sana..au unajitupa kwenye gorofa tu kwishhhhaaa...
Punguza povu muda ni mwalimu mzuri.Azam wana project Yao na wapo serious msimu huu
Hawawezi kumtoa key player wao ili mashabiki wa Simba wafurahie
Uongozi wa Simba unafanya mwendelezo wa kuwapumbaza mashabiki Kwa propaganda nyepesi
Wachezaji wapo wengi washushe vyuma waache maneno
Hakunaga mkataba wa hivyo hata siku moja mkuu. Mimi siwezi kukuuzia kitu halafu nikakupangia namna ya wewe kukiuza. Mpaka Yanga wanamuuza Fei maana yake hawana tena mamlaka juu yakeWewe ni shabiki wa Simba wala huna habari za uhakika
Uko hapa kuipamba Simba
Kama unasema endapo FEI akiuzwa Simba Yanga hatavuna 1b
Hapo ndo nimekudharau kabisa
Wewe ni mgeni kwenye biashara ya wachezajiHakunaga mkataba wa hivyo hata siku moja mkuu. Mimi siwezi kukuuzia kitu halafu nikakupangia namna ya wewe kukiuza. Mpaka Yanga wanamuuza Fei maana yake hawana tena mamlaka juu yake
Kweli kabisa mkuu..Hapana simba inatakiwa iwe na namba kumi wawili wazuri na siyo wa kukaa benchi, kama wakimuuza ahoua watafute mwingine wa kusaidiana na feisal, kuna yule john bosco nilisikia anaenda simba dili lake limeishia wapi
Fabrizio wenu leo unajidai humjui?Ndo nani huyo?
punguza hasira basi jombaUmekuja kuwapumbaza mashabiki wa mbumbumbu fc wala sio tetesi
Unajua kabisa FEI kucheza Simba msu huu haiwezekani
Kwa Yanga huyu ndio top notch kwenye maswala ya tetesi za usajili.The number one media journalist puppet wa yanga.
Tutajuaje bwana mkuu wanaume hao wa dar wanapewa nini mambo ya dar mengi sanaFabrizio wenu leo unajidai humjui?
View attachment 3420646
Baada ya saa 5 hakuna kilichotokea zaidi ya saa 6
Anatumia kivuli cha wajinga kama platform ya kupata followers kwenye account zake mpya ili aje aziuze baadaye.
Frank Wanjiru ni miongoni mwa watu ambao humuambii kitu kuhusu huyo jamaa.
Achana na huyo mgonjwa wa akili shabiki maandazi oya oya.punguza hasira basi jomba
Huyo simjui na huwa sifatiliiFabrizio wenu leo unajidai humjui?
View attachment 3420646
Baada ya saa 5 hakuna kilichotokea zaidi ya saa 6
Anatumia kivuli cha wajinga kama platform ya kupata followers kwenye account zake mpya ili aje aziuze baadaye.
Frank Wanjiru ni miongoni mwa watu ambao humuambii kitu kuhusu huyo jamaa.
Siingilii ubishi wenu lakini hapa umejipotosha aidha Kwa makusudi au Kwa kutokujua. Mkataba wa Simba na Ahly kuhusu Miquisone ulikuwa na kipengele kama Ahly wataamua kumuuza Kwa timu yoyote ya Tanzania lazima aulizwe Simba Kwanza kama anamhitaji au la! Ndo maana Yanga walirukaruka lakini mwisho akarudi Simba. Kusema Hakuna mkataba wa kumpangia Mtu Jinsi ya kuuza mchezaji uliyewauzia hauko sahihi, inafanyika Sana.Hakunaga mkataba wa hivyo hata siku moja mkuu. Mimi siwezi kukuuzia kitu halafu nikakupangia namna ya wewe kukiuza. Mpaka Yanga wanamuuza Fei maana yake hawana tena mamlaka juu yake
Mbona una hasira sana, emu tulia kwanzaWapi Steven Mukwala, Lionel Ateba na Joshua Mutale (Budo)? Mashabiki wa simba nyakati hizi za usajili huwa mnajaa sana upepo kupitia hizi tetesi.
Alokwambia yanga atavuna B1 ni nani? Usimwamini hansWewe ni shabiki wa Simba wala huna habari za uhakika
Uko hapa kuipamba Simba
Kama unasema endapo FEI akiuzwa Simba Yanga hatavuna 1b
Hapo ndo nimekudharau kabisa