Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ahmedy Ally ndio aliyeripoti kuwa Simba wamezidiwa kete?
Ndo aliyesema kuwa Simba wanamhitaji na wapo hatua za mwisho yaani 80%, na alisema walituma ticket 🎫 Kwa ajili ya kuja kumalizia usajili wake wa kujiunga na Simba
 
Kawalete kama ni rahisi kama unavyofikiri
 
Sasa huoni kuwa hapo tayari ni tofauti na kumpangia mtu kuwa ukiuza nipe bil 1,sasa ikitokea umeuza chini ya Bil 1 je utafanyaje
 
Ndo aliyesema kuwa Simba wanamhitaji na wapo hatua za mwisho yaani 80%, na alisema walituma ticket 🎫 Kwa ajili ya kuja kumalizia usajili wake wa kujiunga na Simba
Umem confuse huyo na Hans

Ahmedy Ally alikiri kuwa ni kweli walimuhitaji mchezaji, lakini hayo maneno ya tickets ni heka heka za Fabrizio kutafuta ugali wake
 
Umem confuse huyo na Hans

Ahmedy Ally alikiri kuwa ni kweli walimuhitaji mchezaji, lakini hayo maneno ya tickets ni heka heka za Fabrizio kutafuta ugali wake
Msikilize Kwa makini Ahmed Ally
Kumhitaji mchezaji kunaenda Kwa vitendo, yani ukimhitaji Kuna kitu utafanya kuonyesha Nia, kwaiyo Simba walimhitaji na Kuna hatua walifikia, ndipo YANGA akawazidi kete Simba wakamsain mchezaji
 
Kwenye negotiation ticket sio moja ya vitendo, acha upotoshaji

Hizi mbanga za tickets ni katika upambanaji wa Hans kutengeneza narrative kuwa ni mchezaji mkubwa na alikuwa anahitajika na vilabu vikubwa ila Yanga wenyewe kupitia GSM waliweza ku win hiyo battle
 
Sasa wewe unasemaje
Simba walimhitaji Balla Conte au hawakumhitaji?
 
Sasa wewe unasemaje
Simba walimhitaji Balla Conte au hawakumhitaji?
Nachotaka kusema ni kuwa kuna uongezwaji chumvi mwingi kwenye hizi tetesi. Yanga inamtumia Hans au Hans mwenyewe kwa mapenzi yake na Yanga amekuwa akifanya blanda kuonesha kila sajili muhimu ya Simba imekuwa overstepped na Yanga.

Na nyinyi Gongowazi mnashawishika kirahisi sana japokuwa wachache walimchoka kwa uzushi wake
Your browser is not able to display this video.
 
Me nimekuuliza, je Simba walimhitaji Balla Conte? Jibu ni ndiyo au hapana
Ukishanijibu tutaendelea kuwazungumzia hao wachambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…