Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Ukisema pre assist utajikuta unatoa mashavu kwa kila mchezaji aliyeugusa mpira ukianza na kipa kama shambulizi lilianza kwa transition
Ndo ivo goli ni la timu likipatikana na wanashangilia wote
Kila mchezaji ana potential yake
Huwezi kuwa unataka beki au defensive Midfielders ukaenda ukaulizia ana goli ngapi utakuwa chizi
Au unataka striker unaulizia ana saves ngapi? Utakuwa mwehu
 
Sawadogo alisifiwa na Jemedari watu tukajaa lakini mechi mbili mfululizo jamaa hata dakika 20 hamalizi anakaaa chini anatia stendi anaomba sub
 
Ndo ivo goli ni la timu likipatikana na wanashangilia wote
Kila mchezaji ana potential yake
Huwezi kuwa unataka beki au defensive Midfielders ukaenda ukaulizia ana goli ngapi utakuwa chizi
Au unataka striker unaulizia ana saves ngapi? Utakuwa mwehu
Hakuna takwimu za hivyo babu!

Huo labda uwe ni mchezo mwingine lakini sio mpira
 
Ndo maana tumeleta ithibati, hatutaki ujinga kwenye media
 
Wewe sijui unazungumizia mpira football au mpira condoms?
Yaani hujui kuwa mle uwanjani timu 1 ina wachezaji 11 na kila mchezaji anapewa majukumu yake
Ukimtoa kipa hakuna majukumu ya mchezaji katika eneo lolote linalo m-limit ashindwe ku assist au kufunga.
 
Kimataifa ipo hii ya kombe la shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama?
Ambayo Yanga alifika final na kushindwa away, wala hakushangilia aliona aibu na fedheha kubwa kucheza UMISETA
Mliona aibu wakati mlipeleka mpaka medali ikulu na siku zote mkawa mnawaita simba mwakarobo, kwa kigezo kwamba ninyi mlifika fainali ya hayo mashindano unayoyaita umiseta, kweli kuwa shabiki wa uto ni ugonjwa wa akili hebu tusubiri msimu uanze ili mtueleze vizuri
 
Tuwaeleze Nini zaidi ya kuja kuwafunga mara ya 10 mfululizo
 
Hebu tuwekee hizo mechi za simba zenye hayo madhaifu
 
Badala ya kubeza walau ungeangalia kwa jicho la kihalisia.

Mechi 55 guys no goal no assist, kweli mmedhamiria mnataka kuifanya ionekane kawaida?
Aucho amecheza mechi nyingi na hakuwa mtoa assit wala mfunga magoli. Na bado alikuwa ni mhimili kwenye eneo la ulinzi. Kwa hiyo huyo mchezaji atawasidia walinzi kulinda, halafu akina Pacome watafunga. Na huu ndiyo mgawanyo wa majukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…