Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

U
Uko sahihi
 
Yanga wangemchukua Ibenge kama mbadala wa Miloud Hamdi, hakika wangefanikiwa kuchukia ubingwa wa Afrika. Sema kuna uwezekano wa kumchukua yule kocha wa zamani wa Mamelodi aliyeshindwana na Wydad Casablanca.
Ibenge ana type yake ya wachezaji. Mzee wa Haramu football. Wachezaji wa Ibenge Yanga hawazidi wanne hivyo angetakiwa kuvunja kikosi
 
Huyo Lulan ashasain Orlando pirates zamani
Ibenge anaenda Azam
Labda hapa kumvizia Nabi ambaye Yuko mbioni kuachana na Kaizer chiefs
Hizi taarifa zako sijui unaokotaga wapi, mokwena hana timu kwa sasa ila kuna timu kutoka misri ilikuwa inamhitaji sijui wamefikia wapi, nabi kwa sasa hajaongelea lolote kuhusu kuondoka kaizer na ndio kwanza alishawishi wamsajili feisal
 
Kwanini inashangaa watu kumpenda pecome kwa sababu ya duke?? Kwani duke hawezi kuwa bora na bado pecome akawa bora na akapendwa?
 
😂😂😂 eti ofisini duh mkuu
 
huu uzi ukiwa unausoma hutakiwi kunywa maji, unaweza paliwa 😆,
kuna watu cheka time
 
Yanga wamemchukua Kocha wa Asec Mimosa Julien Chevalier.
Akienda Uto atakuwa amefanya bonge la mistake! Julien ni mtengeneza vipaji wakati Uto wanataka wachezaji waliokuwa tayari kwa ajili ya mataji tz na kufanya vizuri ASEC! Ukiona Kocha anadumu kwenye hizi klabu kwa zaidi ya miaka 5, fahamu lengo kuu la klabu sio mataji unless iwe anatwaa hayo mataji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…