FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni wengi sana, ila maarufu ya watoto walioteuliwa ni Ridhwani, January, Nape , upigaji mtupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna mtu ana haki ya kuwa kiongozi na wengine hawaruhusiwi kuwa na ndoto hizo?Kwamba uongozi ndo lengo la kusomesha watoto wako?wasipopata uongozi inakuwa umepata hasara?
Kwamba uongozi ni ulaji na unataka zamu ya ulaji Kwa watoto wako?
Hizo mentality Bora wakose kabisa uongozi hata wa mtaa...
Mentality za kijinga sana
Kwani kuna mtu ana haki ya kuwa kiongozi na wengine hawaruhusiwi kuwa na ndoto hizo?
Au hata kuwaza kuwaandaa watoto wako siku moja nao kuwania uongozi ni kosa?
Andiko halizungumzii tu uongozi (ambao umetumika kufikisha ujumbe) bali AJIRA kiujumla zimekuwa za kibaguzi, kujuana, rushwa na majina.
Hili kwako ni simple ila mataifa mengi yameanguka kwa mfumo huu ambao uanza kidogo kidogo baadae ukomaa na kuwa kansa.
Jitahidi na wewe upambanie ukanda wakoHao uliowataja kama wapambanaji nao waliingizwa kwenye mfumo kwa kujuana na ukanda kama hiki hiki tunachokizungumzia hapa
Acha wivu! Kitu cha kufuatilia - je wana uwezo wa kazi wanazopewa? Je wanatatua matatizo ya wananchi na Taifa kwa jumla? Wewe jiongeze kutafuta maarifa na vipaji ili wananchi waone uwezo wako. Kuna msemo mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Kwahiyo Mtoto wa mwanasiasa ni rahisi kuwa mwanasiasa - anajifunza mbinu mapema kuliko Watoto wengine.Nipo nawaza tu kama mwanangu nae ipo siku mtamkumbuka kwenye teuzi zenu ama ndiyo atakula kulingana na urefu wa kamba ya baba yake ilipoishia.
Kweli maisha kwa masikini ni ndoto isiyofikika, dunia uwanja wa vita na sisi ndiyo tunaopiganishwa, masikini mwenzangu hamka ukachakarike uitafutie familia mlo wa siku na ulipe kodi yao, kumbuka kuwa wapo wavuja jasho na wapo wanaofaidi matunda ya keki hiyo..bahati nikubahatika kuwa na mkono mrefu utafikiwa.
Walianza babu zao sasa wamemaliza mzunguko wa baba zao katika ufalme, picha linaashiria kabisa ni kuwa wazazi wanawapokeza mikoba watoto wao kurithi miliki wakati mwanangu namrithisha jembe la mkono na ardhi yenye ugumba kwa kukosa mbolea na pembejeo ni wazi wananing'ong'a.
Hata ile ada niliyotumia kumsomesha nikidhani ndiyo ukombozi nayo imeishia matumboni mwao hivi sasa wananikejeli tu wakinena kwa vinywa vyao vinavyonuka rushwa,upendeleo, ubinafsi na unafiki..ajira nichache mwambie mwanao ajiajiri aache uvivu mbona kazi ni nyingi tu graduate kafuge hata bata...huku bata la masaki hajui anachokula watabata kweli wanao haki kuna day watapata.. dunia ni njema ila walimwengu hawana maana.
Hapo utaelezea nini ikiwa kichwa cha habari kinajieleza chenyewe na kila mtanzania anaona na kujua kinachoendelea ila tumeamua tu ile ya nani atakuwa wakwanza kumfunga paka kengele.Mnaanzishaga mada nzuri huku mna jazba !
Hauelezei vya maana unaishia kulalamika tu!
Uoga wetu waTz ndiyo kaburi letu.
Umehitimisha mjadala uzi ufungwe....Wa kulaumiwa ni babu na wazazi wako. Wakati kina Julius wanapigania uhuru wao walikuwa wanakunywa Chimpumu na kuzichakata papuchi za wake wa watu...
Kaza buti wanao wasije kulalamika kama wewe...
Unadhani kwanini nchi ina serikali?Utaendaje kuzima moto kwa jirani wakati kwako pia kunawaka. Ata ungekuwa wewe ungemteua mwanao
Ni kwa sababu mifumo yote inayotawala dunia ni corrupt na haupo mfumo ulio sahihi kwa asilimia walahu 50Duniani kote, mifumo iko hivyo; kama wewe ni mlinzi, kuna uwezekano mkubwa na watoto wako wakawa walinzi
Its either you fight or join them ... "mtoto wa Ngariba hafundishwi kunoa"Ni kwa sababu mifumo yote inayotawala dunia ni corrupt na haupo mfumo ulio sahihi kwa asilimia walahu 50
Julius na wengineo kama ulivyowataja si wapigania uhuru bali majambazi wa kalamu, danganyika ilikuwa huru tokea mwaka 1951 wazungu walikuwa wameshaamua njia nyingine ya kuyanyonya makoloni yao pasipo kuwekeza nguvu na rasilimali zao kama awali(ukoloni mamboleo)Wa kulaumiwa ni babu na wazazi wako. Wakati kina Julius wanapigania uhuru wao walikuwa wanakunywa Chimpumu na kuzichakata papuchi za wake wa watu...
Kaza buti wanao wasije kulalamika kama wewe...
Hilo haliwezi kuwa taifa tena.Jitahidi na wewe upambanie ukanda wako
ukimaliza chuo njoo nikupe uongozi sehemu.kigezo uwe beauty..tuuBabu acha majivuno wee, kwahyo kwa kuwaa hao walipigania uhuru ndo watoto wao watafune hii nchi? Kwan yao pekee yao?
Huwa unakera sometimes khaaaah
Taifa gani hapa duniani ambalo nafasi za uongozi ziko shared equally?Hilo haliwezi kuwa taifa tena.
Ilo neno "UONGOZI SIYO AJIRA" ukiacha unafiki "SIYO KWELI" katika kuakisi uhalisia wa mambo "KWA SERIKALI HII" tuliyonayo ila kwenye makaratasi na filosofia ya uongozi huko sawa kabisa.Uongozi ni wito wa kuongoza wengine . uongozi sio ajira...
Kama huna uwezo wa kuongoza wengine basi huna haki ya kulazimisha upewe hiyo nafasi...
Tanzania kuna masikini Wengi wanachaguliwa Kwa uwezo wako...
Wala hakuna sababu ya kulialia upewe nafasi
Babuu emu nikuachee, naona unataka nipewee ban, nirudi MMU tyuuh.Mlaumu babu yako na uvivu au uoga wake. Angekuwa mpambanaji kama Kina Warioba hivi sasa ungekuwa Naibu waziri wa Afya, Jamii na Maendeleo ya watoto.
Nani kwanza atakupa hiyo rhuksa ya kuwachunguza ikiwa kile cha Makonda pekee kiliitajiwa na taifa zima na mpaka waleo hakijatoka na mwishowe mwajiri alijitokeza hadharani kutunanga.Basi mchunguze vyeti vyao.
walipigania uhuru wate walipa uongozi?Wa kulaumiwa ni babu na wazazi wako. Wakati kina Julius wanapigania uhuru wao walikuwa wanakunywa Chimpumu na kuzichakata papuchi za wake wa watu...
Kaza buti wanao wasije kulalamika kama wewe...
Kama binadamu tungetamani wote tuwe equally kitu ambacho hakiwezekani, ila kwa maana ya madaraja ya uwezo tunatamani kama taifa tuwe na wananchi daraja la tatu linaloweza walahu kupata mahitaji muhimu yaani chakula,malazi na mavazi na hili wapate hiki lazima kuwepo na mwanya kidogo kwao wa kutengeneza kipato na kujimudu ila kwa hali hii wachini atabaki wachini tu.Taifa gani hapa duniani ambalo nafasi za uongozi ziko shared equally?
Nature ya mwanadamu ni tamaa ya kuwa juu ya mwenzake! kiuongozi na kiuchumi .
More over ni baba yupi alimpa nyoka mwanaye alipoomba samaki?
Kiukweli kuna classes kwenye jamii zetu kama msimamo wa ligi kuu NBC ... kuna top dogs, middle table, na wale wanapambana wasishuke daraja.
NB. ili ubadirishe daraja/class uliyopo there is price to pay.... either you learn how system work and be among them(hapa lazima uwe chawa)... or you choose the hard way .... fight them ..