Larry barrice
Senior Member
- Sep 17, 2021
- 114
- 113
Haa......Haa.....Naona BAKWATA inang’ara kama sufi.... hongereni kutesa kwa zamu!
Ohooo asante kwa kunikumbushaPhilemon Sengati ana kiburi kimepitiliza, aliwagomea hadi mawaziri wa kilimo kwenye kutoza mazao km dengu, alikuwa anakaidi amri za mabosi zake.
Sema wewe.....bado kujenga misikiti kila mkoa......Naona BAKWATA inang’ara kama sufi.... hongereni kutesa kwa zamu!
Huo uDr aliupata lini au ndio yale mambo yetu ya degree za vyupi.
Kama kigezo cha teuzi ni kuoa/olewa why alipewa ukuu wa wilaya?Sophia mjema kala dodo, baada ya yule wa kisarawe hadi sasa temeke kuwa na shingo ngumu ya kuolewa, hiyo ndio ilikuwa nafasi yake.....tulimsutua humu toka mwaka jana......watu wakapiga domo humu balaaa
Wanasiasa siyo wenzako, nadhani huyu alipata na Bulldozer Mwamposa, zile PhD unapewa bila kukaa darasani na chuo kimoja Marekani huko.Huo uDr aliupata lini au ndio yale mambo yetu ya degree za vyupi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ulitaka ajiowe mwenyewe? Unadhani kuolewa inatokea tu over one night?Sophia mjema kala dodo, baada ya yule wa kisarawe hadi sasa temeke kuwa na shingo ngumu ya kuolewa, hiyo ndio ilikuwa nafasi yake.....tulimsutua humu toka mwaka jana......watu wakapiga domo humu balaaa
Jaji Siyani Bora kautua Mzigo Wa Kesi Ya Freeman Mbowe WallahWadau maoni yenu please Jaji za Zenji anafit kuja TzView attachment 1968490
Kwa hiyo wakubwa wanataka wamfunge kimagumashi ili baadae akaachiwe na mahakama ya rufaa kama njia ya kusave face au vipi?Amepanda. Kutoka Jaji Mkuu wa Mahakama Kuu, hadi Jaji wa Mahakama ya Rufaa, (Justice of Appeal).
Mahakama ya Rufaa ndiyo Mahakama ya mwisho kimaamuzi ndani ya Muungano. Ipo juu ya Mahakama zote ikiwemo za Zanzibar.
Hata Marehemu A.S. Ramadhan aliwahi kuwa CJ Zanzibar na CJ Tanzania.
NB: Kuwa CJ Tanzania, ni lazima muhusika awe Jaji wa Mahakama ya Rufaa, (Justice of Appeal)
Yes maandalizi Ya Kuwa CJHii ya Jaji Makungu imekaeje,amepanda cheo au kashushwa.au maandalizi ya kuwa jaji mkuu
Nahisi kuna kitu hapa hasa ukiangalia ile kesi ilivyokaa kisiasa.
hujui tu mkuu kinachoendelea,utakiwlewa baadae,hii itamgharimu bwana gaidi,fikili Mara 2!!Sukuma Gang linapukutishwa kwa kasi kubwa
Ninahisi umechanganya. Nimemzungumzia Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Makungu, siyo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, SiamiKwa hiyo wakubwa wanataka wamfunge kimagumashi ili baadae akaachiwe na mahakama ya rufaa kama njia ya kusave face au vipi?
Sheria ipo clear kwamba Jaji/Hakimu ataendelea pale alipoachia mwenzake. Mahakama ni taasisi.Kama hawatamuchia huyu Jaji aliyesikiliza kesi hii kuendelea nayo basi Jaji atakayepangiwa atadai hajui lolote kuhusu ushahidi wa kesi hii. Hivyo kesi kuanza upya kabisa na Mbowe na wenzie kuendelea kusota lupango kwa miezi mingine chungu nzima.
Atapelekwa Jaji Kulita, ambae Yeye na Siyami pia Ni Maafisa VipenyoJicho la tatu...
Kesi ya Mbowe imeleta shida sehemu...
Itabidi atafutwe Jaji mwingine ili alete Suluhu..
Hapo ndipo umuhimu wa Katiba Mpya unapoonekana
Mkuu Sio Kwamba Jaji akishika kesi hata kama amestaafu kisheria huwa anaendelea nayo hadi mwisho labda tu aamue kujitoa. Lkn hata hivyo hapa yeye kawa JK hivyo bado yupo ktk mahakama hiyo hiyo na hajaenda Mahakama ya Rufani?Sheria ipo clear kwamba Jaji/Hakimu ataendelea pale alipoachia mwenzake. Mahakama ni taasisi.
Karibu Tena Meat King
Nimejibu swali lililouliza iwapo Jaji Sian akiondolewa, Jaji atakayeendelea atasema hajui kilichoendeleaMkuu Sio Kwamba Jaji akishika kesi hata kama amestaafu kisheria huwa anaendelea nayo hadi mwisho labda tu aamue kujitoa. Lkn hata hivyo hapa yeye kawa JK hivyo bado yupo ktk mahakama hiyo hiyo na hajaenda Mahakama ya Rufani?