TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Mi mwenyewe nimetamani sana angekuja ilala.. au sijui nihamie Temeke 😁
Siyo poa kabisa hiyo! Joket angeletwa huku wilaya changa kama mlele, Tanganyika, Chato nk ili ayakimbize maendeleo kwa 5G! Isitoshe hizi wilaya mpya viwanja na ujenzi ni bei bwelele...ningemfuata kuungu juhudi kwa kinunua kakiwanja chapchap na kukajenga mkabala na ofisi yake au barabara ya kwenda kwake! Na ningeanzisha miradi ili aje aizindue kwa maendeleo ya wilaya😜!
Hata hivyo matumaini yangu hayajapotea completely maana namwaminia mama SSH kwa maamuzi ya last minute 😜😜😜! Mara paa...Joket wilaya ya mlele/tanganyika/chato😜! Asubuhi tu nimeshakamata viwanja loh😜!
Mama etu SSH embu basi fanya mambo 😜, tamka neno tu huyu mchapakazi atue👆ktk wilaya tajwa nafsi zetu zisuuzike😜! Embuuu uko maama fanya kitu basi😜!
 
Mama kaniudhi sana kwanini anamteua Lijuakali anamwacha Lisu?

Hajui kama sisi bavicha tuna aleji na kina Lijuakali?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio Kwamba MATAGA mlikua mnamuombea yule Mtoto wa Dikteta uchwara aitwaye Joseph ndio afikiriwe?

By the way uliwahi kusikia Lissu anaomba msaada wa nafasi za kupewa kwa hisani??
 
Kanzu mpya; shehe yule yule.
 
Sio Kwamba MATAGA mlikua mnamuombea yule Mtoto wa Dikteta uchwara aitwaye Joseph ndio afikiriwe?

By the way uliwahi kusikia Lissu anaomba msaada wa nafasi za kupewa kwa hisani??
Inaonekana una makasiriko sana mkuu, bila shaka huu uteuzi umekuudhi sana sio?
 
Ila johnthebaptist huwa anachangamsha sana.. mimi huwa nasoma sana post zake ili nicheke 😄
 
Heeeh, mama yangu weeeh, kumbe una kwatooooooh😜! MamaSSH hembu futilia mbali hilo jina lake huyu siyo binadamu ni jini sijui la msoga😂🤣😂! Muweke Musiba😜!
 
Haahaa ukuu wa wilaya makada wamejazwa, naomba Sana mama asitufanyie hivo kwenye ukurugenzi, ateue watumishi wa umma Kama taratibu zinavyotaka.Kujaza makada kwenye utumishi wa umma sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…