Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Wivu!Kwa mfano huyo Zakaria na failure yake ya form four na diploma ya utangazaji,
Ndio maana hii nchi inabakia maskini miaka yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu!Kwa mfano huyo Zakaria na failure yake ya form four na diploma ya utangazaji,
Ndio maana hii nchi inabakia maskini miaka yote.
😀😀😀Twitter inalipa.
Haibadili ukweli mkuu,Wivu!
Ninachokijua Nyumba yenye Askari na Landcruiser V8 na Mafuta ya BureNaomba kufahamu mshahara wa DC ni Tsh ngapi?
Hadi Chopa Mchopanga 😆Hadi Nikk wa pili nae kateuliwa duh
Mkuu haidhidi 3M take home.Naomba kufahamu mshahara wa DC ni Tsh ngapi?
Nikki wa pili sio mbaya sana
Aaaamin 🙏Pongezi kwa wateule wote.
Wote mnafaa na mnastahili kupewa dhamana hiyo, Mhe. Rais amewaamini na sisi wananchi tunawaamini kuwa mtachapa kazi kwa nguvu na maarifa.
usisherehekee kupata cheo bali sherehekea pindi utakapo tatua kero za wananchi na kuleta maendeleo kwenye kipande chako ulicho kabidhiwa.
Mungu awatangulie.
Si uwahesabu wewe unaetaka kujuaNani anaweza kuwahesabu waislamu wateule
Masanja mkandamizaji mbn teuzi zimemkataaRais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James, mtangazaji Hassan Ngoma kutaja kwa uchache.
MtajijuaHivi mama anafeli wapi wadau ?yaani ndani ya ccm hakuna vijana wa kupewa uteuzi hadi anawapa ulaji hao wahamiaji wenye tamaa ya madaraka toka chadema, kuna vijana wengi ccm wamekipigania chama toka zamani lakini hawajapata uteuzi,daah yaani anarudia yale yale kama ya hayati magufuli