KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Atleast Mrs Nick ataanza kua na adabu kwa mumeweNimeshangaa mno
Ukuu wa mkoa labda au ukurugenzi?Mimi nauliza tu hapa: JohntheBabtist, Yule Paskali mwenye njaa kali; Jinga na Magonjwa, hawa wote safari hii wamo kwenye orodha hiyo?
Naona Zitto bado anavuta subira.
Kawekwa Handeni yule mama mtata 😊😊😊😊Mwingine atakayefurahi ni Shabiby baada ya "mtesi" wake, DC wa Gairo kutupwa nje😀
Tatizo mnataka mnavyoamini nyinyi ndoivyo iwe, kitu ambacho kinawafanya muone kama serikali ni potofu kila mara. Haya lete ushahidi wa madai yako hapa.NASARI ALIKUWA BADO KWENYE UCHUNGUZI KWA KUSHIRIKIANA NA OLE SABAYA KUFANYA UHALIFU, LEO ANATEULIWA KUWA DC!
HIVI HAKUNA MAWASILIANO KATI YA IKULU NA TAKUKURU???
SERIKALI HAINA COORDINATION???
Acha kuamini maneno ya kwenye majukwa ya siasa, Presdaa anavuta mkwanja mrefu sana mkuu. Hata hiyo 11M nadhani ni uongo tu.Mwendazake alisema alikua akipewa m11 kama sikosei, akasema ipunguzwe akawa anapewa m9 (according to yeye) sa sijui kweli make nae alikua muongo muongo
Mke wake alikuwa anafanya Nazi ganiAtleast Mrs Nick ataanza kua na adabu kwa mumewe
Mh.Dc
Hujui lolote.3.5M kabla ya kodi
Hujui lolote.Mkuu haidhidi 3M take home.
Seriel yupo kahamishwa tu kutoka uwanja wa nyumbani kwenda uwanja mwingine.Mwingine atakayefurahi ni Shabiby baada ya "mtesi" wake, DC wa Gairo kutupwa nje😀
Kwenye teuzi za DCs mama kachemka big time , DC ni cheo cha kisiasa wateule wengi wameokotwa huko hawajui siasaMama kachemka sana
Angalia mkoa wa SingidaKasesera kaliwa kichwa
Yule Mwehu wa Arusha Bongo Flavour nae kaliwa Kichwa
Dar Kuna Itv na Azam tvNaona Dar imekabidhiwa ITV Radio One,
Na kigoma ikakabidhiwa Jeshi!
Hahaaaa na mie pia naomba debe moja tu
Makonda sio kijana , umri wa Kua UVCCm umeshampitaKheri james katumbuliwa kisayansi kabisa!!!Nadhani makonda atapewa uenyekiti UVCCM TAIFA!!!NGOJA TUONE!
Bado kuna mikeka ya ma DED, ma DAS, ma RAS, nkHongera sana mhe. Rais Mama Samia kwa uteuzi makini, hakika umetuteulia viongozi hodari na makini sana.
Uteuzi uko vizuri sana tena sana.
sasa kazi iliyo baki ni kulijenga Taifa letu lisonge mbele.