TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

NASARI ALIKUWA BADO KWENYE UCHUNGUZI KWA KUSHIRIKIANA NA OLE SABAYA KUFANYA UHALIFU, LEO ANATEULIWA KUWA DC!
HIVI HAKUNA MAWASILIANO KATI YA IKULU NA TAKUKURU???
SERIKALI HAINA COORDINATION???
Tatizo mnataka mnavyoamini nyinyi ndoivyo iwe, kitu ambacho kinawafanya muone kama serikali ni potofu kila mara. Haya lete ushahidi wa madai yako hapa.
 
Mwendazake alisema alikua akipewa m11 kama sikosei, akasema ipunguzwe akawa anapewa m9 (according to yeye) sa sijui kweli make nae alikua muongo muongo
Acha kuamini maneno ya kwenye majukwa ya siasa, Presdaa anavuta mkwanja mrefu sana mkuu. Hata hiyo 11M nadhani ni uongo tu.
 
Mama kachemka sana
Kwenye teuzi za DCs mama kachemka big time , DC ni cheo cha kisiasa wateule wengi wameokotwa huko hawajui siasa

either mama analipa Fadhila au kapewa list ya hovyo hovyo na wasaidizi wake ili ndugu zao wapate ulaji
 
wakuu
Nikjwa hapa ITV mida hii saa 6 sasa nikicheki marudio ya tamthilia ya kizulu, ITV wanakatisha na kuleta ka poo up kidogo cha kumpongeza mtangazaji wao ndugu Abdalah mwaipaya kwa kuchaguliwa kuwa mkuu wa wilaya ya mwanga Kilimanjaro

Inaonesha Raisi ameamua kuchagua watu makini na wenye weledi.
 
Kuna watu ni wanafiki sana Kwahiyo mama kuteua ma-DC imewauma sana?mbona kipindi cha Jpm hamkulalamika?

Kipindi kile watu waliteuliwa hamkulalamika sasa samia anateua mwalalamika kwanini akifanya samia inakua nongwa lakini akifanya magufuli inakua ni sawa?

Au ndo mkuki wa nguruwe

Mbona kipindi cha jpm akiteua hamkunyanyua pua zenu?

Tena wanaolalamika ni vijana wa mataga ambao kipindi cha jpm walifurahia teuzi

Wacheni unafiki acheni mama achape kazi
 
Hongera sana mhe. Rais Mama Samia kwa uteuzi makini, hakika umetuteulia viongozi hodari na makini sana.
Uteuzi uko vizuri sana tena sana.
sasa kazi iliyo baki ni kulijenga Taifa letu lisonge mbele.
Bado kuna mikeka ya ma DED, ma DAS, ma RAS, nk
 
Back
Top Bottom