TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Inabidi tuombe idadi ya watu wenye actual degree za siasa or philosophy serikalini ata kama ni combo za PPE (Politics, Philosophy and Economics) kwa wale wenye nafasi za senior civil servants including washauri wa raisi Ikulu.
 
Nimefurahi sana uteuzi wa mama. Amechukua kutoka makundi tofauti tofauti hasa vijana. Mambo ya kutujazia wastafu ameachana nayo
 
Huenda wengi ni aina ya Sabaya
 
Ila huko Mwanga inabidi awe makini sana hasa kwakuwa atamkuta Mkurugenzi Mtoto wa Lubuva, kusitokee tena migogoro kama ile iliyokuwepo.

Mwanga kumekuwa na mizengwe mizengwe sana na Ofisi ya Utumishi pale kuna uozo sana.
 
Hongereni wote, nilivyokua najipendekeza kote kule sijaonwa πŸ˜­πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Nadhani vijana wa Ccm ndio wanapaswa kujiuliza mara mbili mbili! Yaan mtu akitoka upinzani akija Ccm ni lulu! Hii inadhihirisha kuwa upinzani kuna vichwa na huko Ccm wengi ni vilazer!!
Si kweli.....

CCM ina hazina ya VIJANA....

Wako walioajiriwa na CHAMA kufanya kazi MAKAO MAKUU DODOMA na OFISI NDOGO LUMUMBA NA KISIWANDUI......

Ajabu tu ninyi wenzetu CHADEMA ,ofisi tu KUBWA yenye wafanyakazi wengi hamna .....hamna kabisa......

Sasa unategemea ikiwa huko tu CCM imewazidi......mtawashindia wapi ?!!!

Vijana wengine watateuliwa muda ukifika .....hwenda uDAS ama mwaka 2025 na kuendelea panapo uhai. ...

#KaziInaendelea
#NchiKwanza
 
Hongereni wote, nilivyokua najipendekeza kote kule sijaonwa πŸ˜­πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Usikonde comrade....

Bado uDAS....
Bado uDED....

Na bado pia mkeka wa 2025 panapo uhai na afya ,Aaamin!

#TuiendelezeKaziYaChama
#NchiKwanza
#CCMNiNgome
 
Mwanaharakati huru naona anasubiria huko lolote jambo lakini wapi kimyaaaa....
 
Mfanyakazi wa sekta ya UMMA akawe vyema MJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA CCM YA WILAYA?!!!!

Tusisahau uDC pia ni nafasi adhimu ya kisiasa.....ndivyo katiba ISEMAVYO.....

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…