Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAVICHA inawahusu nini? Yanayoumia ni ma-CCM lialia, watu wametoka zao upinzani wanakuja kula shavu yenyewe yapo tu! Johnthebaptist imekula kwake tena![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uteuzi wa leo ni mwiba mchungu sana kwa bavicha
vilazer hua na mawazo mafupi kama yako, haya nambie ni mwana ccm gani alikuja chadema na hakua lulu ili uyaprove matap tap yako uloandika hapa?Nadhani vijana wa Ccm ndio wanapaswa kujiuliza mara mbili mbili! Yaan mtu akitoka upinzani akija Ccm ni lulu! Hii inadhihirisha kuwa upinzani kuna vichwa na huko Ccm wengi ni vilazer!!
Miaka yote Mungu anatusaidia chini ya utawala wa CcmHakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
Ni Muislamu?wakuu yule jamaa aliyegombeaga ubunge na ndugai kisha akapigwa rungu na ndugai na kuzimia,kisha kumpooza ccm wakampa ukuu wa wilaya ya meatu.
naona kwenye teuzi hayupo,kapewa kitengo gani?
anaitwa dkt chilongani!
Hassan Ngoma sio mtangazaji?Hongera sana Simalenga wa Clouds na Basila Mwanukuzi Miss Tz 1998.
Sawa Ila hakuna Rais hapo MkuuMiaka yote Mungu anatusaidia chini ya utawala wa Ccm
Hakuna Cha maana hapo hatuna Rais fool stop.Kuna siku mtakuja elewaNimefurahi sana uteuzi wa mama. Amechukua kutoka makundi tofauti tofauti hasa vijana. Mambo ya kutujazia wastafu ameachana nayo
Rais makini tulibahatisha kidogo hayati mkapa.Sawa Ila hakuna Rais hapo Mkuu