TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Mama asante..! Mwanao bado nasubiri uDAS....


Kazi Iendelee...
 
Pascal vipi! manake kakipigania sana chama huyu mzee.
The day will come but not today.
Ila waandishi nao wajifunze kuwa neutral, siyo kila sehemu ukipata nafasi kuuliza swali basi unataka kujionyesha wewe ndiye bingwa.

High rank diplomatic wa afrika siyo ya ulaya, unajitutumua kuuliza swali ili umkomoe kumbe unajipalia makaa, hatimaye unawekewa red line.
 
Niki wa Pili ndio huyu ana wimbo unaitwa "Mambupu"?
 
Acha kuamini maneno ya kwenye majukwa ya siasa, Presdaa anavuta mkwanja mrefu sana mkuu. Hata hiyo 11M nadhani ni uongo tu.
Ndio maana nikasema sijui kama ni kweli, make alikua ni muongo muongo....
 
Hivi ndivyo walivyo walimwengu. Juzi walilalamika vijana hawana kazi hawana ajira, leo uDC wamepewa vijana roho zinawatokota. Mlitaka wateuliwe wastaafu mzidi kupayuka au?? By the way kwa sasa nchi ipo ktk mikono salama sana haijapata kutokea.

Nawapongeza vijana wenzangu mlioteuliwa. Mkafanye kazi ionekane...! Ili wenye roho ngumu wakose cha kusema.

Nashukuru Mh. Raisi kwa kutusikiliza mawazo yetu. Teuzi za ma DC umetufurahisha sana kwa kuchanganya watendaji wa nyanja tofauti. Hakika tunahisi ladha yenye msisimko...
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James, mtangazaji Hassan Ngoma kutaja kwa uchache.
Jaffar Haniu Wala Hajaandika Kwamba Hizi Teuzi Mama Kateua akiwa Dodma au Dar
 
Kumbe [emoji849] basi ule ubongo movie mi namchukuliaga hivo hivo, ana elimu gani?
Shuke ipi bana?
Wapo wana cccm kindaki ndaki wanashule zinaonekana bana!
Anatengeneza tu road ya 2025
Maana hapo waandishi wa habari, watangazaji na wasanini watatudi zama za aliyetangulia kusifu na kuabudu .
 
Huyu mpumbavu na mama yake si walijiharibiaga kwa kuhamia chadema na kuinanga CCM. Wakataka vunjiwa nyumba wakarudisha matako nyuma 😅😅😅 na kujidai wamerudi CCM! Wema angekuwa na akili timamu na ushawishi alionao angekuwa na privilege kama Jokate sababu baba zao walikuwa kwenye system ila akili ndio hana .
Hata kujiheshimisha hajui akili yake ishajulikana ikoje hata bila kuihama CCM hakuna mtu angempa.......
 
Back
Top Bottom