TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

[emoji44][emoji1787]

Nadhani ili aweze kufanya "coordination" ya maamuzi ya haraka katika mambo yao kuhusu kutulinda Watanzania!
DC yeyote hata jokate no mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya
 
Huu mchezo hauhitaji hasira kuna watu walidhani kifo cha Magufuli ni mafanikio yao walijidanganya sana kinyume chake imekuwa kweli. Magufuli aliibua wapinzani waliokimbilia ng'ambo kwa uanaharakati wa uongo

Yaani mama ameamua kuimalizia CHADEMA hakuna namna CHADEMA tena itaibuka yaani imeshazama kabisa na inapiga piga miguu

operesheni yao ya haki mama anaifanya kwa Vitendo
 
Kweli Mkuu hapo Rais kapotea kabisa RSO na DSO vetting vibaya.
Ulitaka APATIE kwa kuwateua akina nani?!!!

Tuanzie hapo kwanza.....

Mkuu inaonekana imekuuma sana....si kwa kuzirudia comments hizo mara 20 kila thread 🤣🤣

#KaziInaendelea
 
DC yeyote hata jokate no mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya
Sawa....

Ila hivi mh.Jokate anaweza kufanya maamuzi ya KIJESHI haraka sana kwa kuvicommand VIKOSI vya JWTZ na kuvipangia mikakati?!!!

#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom