kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
PerdayMuongo muongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PerdayMuongo muongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Mkuu hapo Rais kapotea kabisa RSO na DSO vetting mbaya.Huu uteuzi ni sawa na uteuzi wa class rep au admin wa magroup ya whatsapp tu. Sijawahi kushuhudia uteuzi wa hovyo kama huu. Poor
😲🤣Reasoning za kipuuzi mjeshi mmoja mwenye kitambi anasaidia nini hapo?
Vipo mbini umekuingia?Au sio
DC yeyote hata jokate no mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya[emoji44][emoji1787]
Nadhani ili aweze kufanya "coordination" ya maamuzi ya haraka katika mambo yao kuhusu kutulinda Watanzania!
Your like piece I'm like oneVipo mbini umekuingia?
Huu mchezo hauhitaji hasira kuna watu walidhani kifo cha Magufuli ni mafanikio yao walijidanganya sana kinyume chake imekuwa kweli. Magufuli aliibua wapinzani waliokimbilia ng'ambo kwa uanaharakati wa uongo
Yaani mama ameamua kuimalizia CHADEMA hakuna namna CHADEMA tena itaibuka yaani imeshazama kabisa na inapiga piga miguu
operesheni yao ya haki mama anaifanya kwa Vitendo
Ulitaka APATIE kwa kuwateua akina nani?!!!Kweli Mkuu hapo Rais kapotea kabisa RSO na DSO vetting vibaya.
LSSE3
👊👊👍👍💪Kazi iendelee
Sawa....DC yeyote hata jokate no mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya
Anaweza kimtindoSawa....
Ila hivi mh.Jokate anaweza kufanya maamuzi ya KIJESHI haraka sana kwa kuvicommand VIKOSI vya JWTZ na kuvipangia mikakati?!!!
#KaziIendelee
Acha tuendelee na cha asubuhi kutoka tigo...Hahhaaa tujitahidi tuonekane kwenye sosho media’s
Ni enzi za JKEnzi za magufuli ulikuwa mjinga sana
Mama kanifurahisha kuweka vijana wa JPM wengi kwa ilo amefanya vizuri sana.Kila jambo na muda wake hii ni awamu sita tuvumiliane.
Tigo inatisha kwakweliAcha tuendelee na cha asubuhi kutoka tigo...
KwaniniTigo inatisha kwakweli