TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Safi sana Mama uteuzi huu nimeukubali sana na umeamua kuwaamini vijana safi sana..
Vijana wana changamoto sana kwenye uongozi wana paswa kulelewa kukuzwa na kufunzwa wanapo kosea.
Lakini ningependa kuwe namuendelezo kewa wakuu wa wilaya wanofanya vyema at least wangekuwa wanadumu sehemu hata kwa miaka mitano mfano kisarawe na temeke....lakini yote ni nia njema.
hongera sana Nick wa pilli una kazi kubewa sana..
Chopa wa mchopanga hongera sana .....nakukubali uko smart..

MaMA SAMIA UMENIKOSHA NA KAZI IENDELEE
Leak please, una akili ya mbu,
 
Komanya kaliwa kichwa.

Jerry Murro kahamishiwa Ikungi.

Waliokuwa CHADEMA wameula.
Wananchi wa Tabora wanafanya sherehe. Komanya alikuwa gaidi sana.

Alikuwa na dharau kwa kila mtu. Alikuwa anadharau hata mabosi wake mkuu wa mkoa na ras.

Kwa ujumla,jamaa alikuwa hana sifa yoyote ya uongozi.
 
Wamepigwa ile kitu tunaita Daflau ya kidevu, ujue hata ccm kwenyewe hua wanawaona vijana wao hawana akili ndio maana hua wanaamua kuyaacha tu
Yaani huwa mara nyingi nawaza sana ili uwe Mataga lazima fyuzi zikatike aisee maana jamaa ni mambulula kweli kweli
 
Ila inauma nyie..mtu kama
YEHODAYA alikua front line vby mno kwenye kutoa info kwa msiba wa mwendazake..alafu ni msomi mzuri tu ..wanakuja chaguliwa wakina mchopanga sijui ! Khaa...
Mtu kama mkuu wa mkoa wa Mor hata sio mfia dini yule ni opportunist..lakini wameachwa wafia dini kibao!MKOME..ccm ina wenyewe...hebu imagine Mashinji kwa ufia chama upi?kina Nasari kwa mapenzi yapi na ccm![emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Hayajiulizi hata mwendazake hakuwa na mpango nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila inauma nyie..mtu kama
YEHODAYA alikua front line vby mno kwenye kutoa info kwa msiba wa mwendazake..alafu ni msomi mzuri tu ..wanakuja chaguliwa wakina mchopanga sijui ! Khaa...
Mtu kama mkuu wa mkoa wa Mor hata sio mfia dini yule ni opportunist..lakini wameachwa wafia dini kibao!MKOME..ccm ina wenyewe...hebu imagine Mashinji kwa ufia chama upi?kina Nasari kwa mapenzi yapi na ccm!🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
Unajiajir kama @YEHODAWA hajateuliwa? Hapa si anatumia fake id
 
Ni kama Raisi anawaambia "niacheni nifanye yangu kwenye Awamu yangu"
Kila siku nawaambia hawana akili, ninyi huwa mnaona nawadanganya sio?

Hawana akili hawa, wangekuwa nazo, tungejumuika sote kuidai katiba mpya.

With Katiba Mpya haya mambo yote tungeweza kuangalia namna ya kuyahighlight huko.



Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Sitegemei mkeka huu upendwe na bavicha, lijuakali, nasari, mashinji etc....
 
Yaani hakuna kiongozi yenu yeyote anaewakabali hivi hamuwezi kujishitukia kuwa Marais wote wanawaona kama ninyi ni majuha?? Iweje teuzi karibia zote wapewe watu ambao sio wafia chama?! Jitafakarini punguzeni umbumbumbu
Idugunde njoo huku unatafutwa Mkuu.
 
Back
Top Bottom