TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

Unajuwa maana na sababu ya msemo wa "kwaMkapa hatoki mtu"?
 
Ndiyo wote mnavyosema mitandaoni na nimemsikia mwanayanga anayekusanya michango kulipa hiyo faini akisema hivyo. Kwa hiyo sasa hivi mnajikita kwenye kichaka cha hakuna kiongozi aliyetamka maneno hayo? Uto bana, mtakua liniii?
Hakuna uchawi kwenye mpira, ila Kuna kucheza na psychology ya wachezaji wako na Ile ya wapinzani wako, kinjekitile alicheza na psychology ya askari wake kuwaingiza kwenye vita ngumu na wajerumani kwa kuwaaminisha kuwa risasi za adui zitageuka maji zifikapo kwenye miili Yao. Lakini sio kweli walikufa wengi sana kwa risasi.

Simba na TFF bado wanakumbutia imani ya uchawi kwenye mpira. Ona Ile kamati ya watu 21 iliyoundwa kuishauri bodi ya Simba kuhusu Yanga wote wale hawa akiwemo Mangungu mwenyewe ni "we used to do this group" bila kujali kuwa Simba haijawahi kuleta kombe kubwa la CAF tangu iundwe ikiwa chini Yao.

Eng. Hersi na timu Yao wanatembelea kwenye njia za mpira sio uchawi. Kama ukitaa njia za wazi za uchawi basi utasababisha watu watumie njia za kificho za uchawi. Dawa ni TFF kubadili mind set za wadau wa mpira kuhusu mpira na uchawi kwa kutoa elimu badala ya adhabu. Adhabu haisaidii watu kuacha Imani zao, ndio maana watu wanaobaka wapo ingawa adhabu ya kifungo Cha miaka 30 kwa wabakaji IPO.
 
We ni mpumbavu? Kwani sisi tusioamini Mungu umesikia hatufanikiwi? Kwamba anae amini Mungu sana ndiye mwenye mafanikio zaidi?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mungu ni mbadala wa uchawi, vyote vinacheza na psychology ya mchezaji uwanjani. Asiyeamini uchawi ataamini Mungu na vyote vitaleta matokeo yaleyale TU. Mpira ni sayansi, kipaji, afya, nguvu na mipango sahihi.
 
Haujitambui wewe na haujui hata unachoongea. Unajua huo ujinga Yanga huwa hawawezi kuufanya mashindano ya CAF maana wanajua rungu ni kubwa kuliko hili la TFF na wanaweza hata wakashindwa kucheza mechi husika. Kwa nini msifanye mapuuza hayo huko halafu msingizie psychology? Hoja za kijinga kabisa hizi.

Upo hapo unanyooshea vidole wengine wakati mwenye hatia ni wewe mwenyewe. Jitambue dogo.
 
Brain washed nyinyi. Mbona wachezaji wanaingia uwanjani wakionyesha ishara ya masalaba na wengine wanasujudu uwanjani bila kuchukuliwa hatua. Je, Kuna ubaya gani mchezaji asiyeamini msalaba na kusujudu akaingia uwanjani kinyume nyume kama anaona yeye itamsaidia kumlinda na kucheza vizuri?. Shida yenu kuu ni umbumbumbu na ukasuku. Hakuna uchawi kwenye mpira, TFF iwafundishe vijana wetu hivyo tangu wakiwa watoto. Kutajataja uchawi na kutoa adhabu ni kupalilia imani na hisia za uchawi. Waache kama wanaona inawasaidia ilimradi haiwqdhuru wengine kama vile kuwasha moto viwanjani, moto ni hatari kwenye mazingira.
 
Kutoamini uchawi kunatakiwa kuendana na kutofanya vitendo vyenye viashiria hivyo si tu kubwabwaja maneno mengi. Bado sikuelewi yaani na sidhani kama kuna mtu anakuelewa unapotetea mambo haya halafu hapo hapo unalaumu timu zingine kwa vitu hivyo hivyo wakati mtendaji ni wewe. Ndiyo maana nilisema haujitambui.

Kuna mwenzio hapo juu anajitetea eti hakuna kiongozi wa Yanga aliyetoka kuliongelea hilo jambo, sijui alikuwa anataka kusema nini. Na bado mtasemaa tu, yaani hapo baaado.
 
Wewe hujielewi, hata serikari na sheria haziamini uchawi ila zinakataza vitendo vinavyodhuru watu wengine kwa jina la uchawi kama vile kuchonganisha watu na viungo vya binadamu. Sasa mtu akiingia kinyumenyume uwanjani anamdhulu nani hadi TFF itumie nguvu nyingi sana hivyo? TFF Ina kazi ya kuwaelimisha watu kuwa mpira sio uchawi bali ni maandalizi, ubora na mipango sahihi ili vijana wasihangaike na kuchanjwa chale matakoni ambazo TFF hamtaweza kuziona huko matakani wanapoingia uwanjani. Viongozi wa TFF wenyewe wanaamini kwenye uchawi ndio maana wakiona mtu ameshika manyoa ya kuku TU wanasema ni uchawi lakini wakiona mtu kavaa lozari huo sio uchawi. Ni upuuzi TU wa waafrika kuona kila Cha mwafrika ni uchawi.

Kama kijana chipukizi akiona timu Fulani imeingia mlango usio lakini ikachapwa goli 5 -0 wataacha wenyewe kuuamini uchawi. Mbona timu zetu hashindi kwenye kombe la dunia na uchawi wanao?
 
Kwa hiyo umeamua kabisa ujitetee kwa angle hiyo? Halafu mbona hakuna kiongozi wenu yoyote aliyetoka kulalamikia hiyo faini na badala yake mmeanza kampeni za kukusanya michango kuilipa?
Wananchi wameamua kulipa faini kwakua tunajua tunabaguliwa na kuonewa. Watu wanaobaguliwa na kuonewa wanatabia ya kuwa pamoja na kushikamana zaidi. Uliona wapi kupita mlango mwingine kufika uwanjani kwa wakati kukawa kubaya kuliko kuchelewesha kuanza mchezo na matangazo kwaajili yako? Yaani timu kwa makusudi inaamua kuchelewa kutoka vyumbani hadi kusababisha usumbufu mkubwa kwa watu wote ndani na nje ya uwanja, ndani na nje ya nchi lakini eti adhabu yaao ni 1m only na yule aliyefika uwanjani kwa wakati ni 5m.

Sisi ni watanzania na ligi ni ya Tanzania na inachezwa Tanzania ambako kuna mila na tamaduni zake. Tanzania hatuna psychologists and psychoanalysts kwaajili ya vilabu na wachezaji wetu, badala yake tunategemea waganga wa jadi kutibu akili za wachezaji wetu. Ukienda Africa Kaskazini kwa waarabu wana utamaduni wao viwanjani, ukienda ulaya wana wakwao wa kutumia hao psychologists na psychanalysts. Kubadilisha culture sio kazi ndogo inayoambatana na chuki, bali kazi inayohitaji kuwekeza kwenye elimu za watu.
 
Umeandika ujinga mtupu,tena upuuzi .....
Utopolo kama ni mtoto basi lastborn asiyejua hata kufua soksi na chupi yake..
Kama ni wkiume basi ni kibenten,marioo pia wa mashakamashaka inaweza hata kuwa ni chicha mwiba
Kama wa kike basi ni wale waliotimuliwa pale Mwananyamala A na Fisi

Yaani mnapenda mteremko kila kitu mfanyiwe ...

Yaani unataka mtu anayepiga wenzie uwanjani aachwe kisa nyie nani?
Ajibu alifanya nini zaidi ya kupiga mpira uliokuwa katikati ya miguu ya lile gunia lenu?
Tena ilibidi mpigwe faini bil 3 kwa kuroga mchana kweupeee

ACHENI UCHAWI,WANGA NYIE
 
Yanga hili suala la kuingilia mlango usio rasmi inabidi wapigwe fine ya Mabilioni ndio watakoma, kila siku nyie khaa.
Wachawi sana hawa utopolo na jawa ndio wanaharibu taswira ya soka la nchi
 
Acha kubwabwaja dogo. Nimekwambia kama hiyo ndiyo mbinu zenu, zitumieni pia katika CAFCL uone mtakachopata. Nakwambia hata mechi yenyewe haitachezwa ndiyo ujue uzito wa kosa hilo.

Unasisitiza wengine wapate elimu wakati wewe ndiyo wa kwanza unayeihitaji hiyo elimu. Unashangaza sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utopolo acheni uchawi
Your browser is not able to display this video.
 
Hivi wewe na TFF bado mnaamini ushirikina kwenye mpira wa miguu? Yanga ya sasa wameshavuka huko ndio maana inasogea kwa kasi kuliko Ile Yanga ya akina Tabu Mangala.
Juzi tu mliwaroga coast [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na refa mkampa bahasha ya kaki
Your browser is not able to display this video.
 
Kwahiyo simba sc wakiwasha moto sio psychological war?
Yanga wakimwaga dawa uwanjani ni psychological war?

Duh...NDIO MAANA MNAAMBIWA HAMNA AKILI.
 
Duh....NIMEAMINI HATA UKIWA NA PhD Ila ukijihusisha na yanga/utopolo unakuwa kama Charlie Champlin maana huwezi amini mwenye digrii 3 anaweza kuandika hayo mavi hapo juu
 
Mmekasirika tumegundua matunguri yenu mliyatega hapo....mmeumia na mmekandwa 5 hamumini ....
We unaona kama ni AUCHO yule kumbe ni LIJINI[emoji23][emoji23]

SIMBA 1 MAJINI 5

ACHENI ULOZI
 
Unaropoka bila kujua unachotaka kusema. Angalia timu za Kaskani zinapokuwa kwenye ligi zao na zinavyofanya zinapocheza kwenye viwanja vyao mashindano ya caf ni tofauti sana na zinapocheza kwenye mechi za finali za kombe la dumia. Zinapokuwa kwenye kombe za dunia zinaachana na utamaduni wao na kufuata utamaduni wa kimataifa hata ikibidi kutangaza pombe au kamali. Huwezi kuwa format watanzania waachane na tamaduni zao kwakutumia adhabu eti kwakuwa wewe unataka kupata fedha za makosa au kuchukia timu nyingine. Kwenye mechi ya final ya caf confederation kati ya US Alger Vs Yanga mashabiki walikoka moshi na mishumaa mbele ya viongozi wa caf na FIFA lakini hawakupewa adhabu yoyote kwakuwa waliichukulia kama culture yao. Ona TFF ilishinikiza Yanga kupewa adhabu na caf kwasababu ya vitoshi tu uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…