Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Sofa = sifa!Kwanini mmepigwa faini. Kuna Sheria na kanuni Eymael apewe sofa zake.
Mbumbumbu ulikuwa unaandika huku unakimbizwa na Eymael ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sofa = sifa!Kwanini mmepigwa faini. Kuna Sheria na kanuni Eymael apewe sofa zake.
Unajuwa maana na sababu ya msemo wa "kwaMkapa hatoki mtu"?Mnasema mlikwepa kutumia njia rasmi kwa kuwa mnadai wapinzani wenu walitega makitu, kwa nini tusiamini nyie ndiyo mliweka makitu katika njia hizo rasmi mkajua njia ambayo iko salama ni ipi?
Matendo, viashiria na dalili zote za ushirikina katika michezo zipigwe vita bila kupepesa macho.
Hakuna uchawi kwenye mpira, ila Kuna kucheza na psychology ya wachezaji wako na Ile ya wapinzani wako, kinjekitile alicheza na psychology ya askari wake kuwaingiza kwenye vita ngumu na wajerumani kwa kuwaaminisha kuwa risasi za adui zitageuka maji zifikapo kwenye miili Yao. Lakini sio kweli walikufa wengi sana kwa risasi.Ndiyo wote mnavyosema mitandaoni na nimemsikia mwanayanga anayekusanya michango kulipa hiyo faini akisema hivyo. Kwa hiyo sasa hivi mnajikita kwenye kichaka cha hakuna kiongozi aliyetamka maneno hayo? Uto bana, mtakua liniii?
Mungu ni mbadala wa uchawi, vyote vinacheza na psychology ya mchezaji uwanjani. Asiyeamini uchawi ataamini Mungu na vyote vitaleta matokeo yaleyale TU. Mpira ni sayansi, kipaji, afya, nguvu na mipango sahihi.We ni mpumbavu? Kwani sisi tusioamini Mungu umesikia hatufanikiwi? Kwamba anae amini Mungu sana ndiye mwenye mafanikio zaidi?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Haujitambui wewe na haujui hata unachoongea. Unajua huo ujinga Yanga huwa hawawezi kuufanya mashindano ya CAF maana wanajua rungu ni kubwa kuliko hili la TFF na wanaweza hata wakashindwa kucheza mechi husika. Kwa nini msifanye mapuuza hayo huko halafu msingizie psychology? Hoja za kijinga kabisa hizi.Hakuna uchawi kwenye mpira, ila Kuna kucheza na psychology ya wachezaji wako na Ile ya wapinzani wako, kinjekitile alicheza na psychology ya askari wake kuwaingiza kwenye vita ngumu na wajerumani kwa kuwaaminisha kuwa risasi za adui zitageuka maji zifikapo kwenye miili Yao. Lakini sio kweli walikufa wengi sana kwa risasi.
Simba na TFF bado wanakumbutia imani ya uchawi kwenye mpira. Ona Ile kamati ya watu 21 iliyoundwa kuishauri bodi ya Simba kuhusu Yanga wote wale hawa akiwemo Mangungu mwenyewe ni "we used to do this group" bila kujali kuwa Simba haijawahi kuleta kombe kubwa la CAF tangu iundwe ikiwa chini Yao.
Eng. Hersi na timu Yao wanatembelea kwenye njia za mpira sio uchawi. Kama ukitaa njia za wazi za uchawi basi utasababisha watu watumie njia za kificho za uchawi. Dawa ni TFF kubadili mind set za wadau wa mpira kuhusu mpira na uchawi kwa kutoa elimu badala ya adhabu. Adhabu haisaidii watu kuacha Imani zao, ndio maana watu wanaobaka wapo ingawa adhabu ya kifungo Cha miaka 30 kwa wabakaji IPO.
Brain washed nyinyi. Mbona wachezaji wanaingia uwanjani wakionyesha ishara ya masalaba na wengine wanasujudu uwanjani bila kuchukuliwa hatua. Je, Kuna ubaya gani mchezaji asiyeamini msalaba na kusujudu akaingia uwanjani kinyume nyume kama anaona yeye itamsaidia kumlinda na kucheza vizuri?. Shida yenu kuu ni umbumbumbu na ukasuku. Hakuna uchawi kwenye mpira, TFF iwafundishe vijana wetu hivyo tangu wakiwa watoto. Kutajataja uchawi na kutoa adhabu ni kupalilia imani na hisia za uchawi. Waache kama wanaona inawasaidia ilimradi haiwqdhuru wengine kama vile kuwasha moto viwanjani, moto ni hatari kwenye mazingira.Haujitambui wewe na haujui hata unachoongea. Unajua huo ujinga Yanga huwa hawawezi kuufanya mashindano ya CAF maana wanajua rungu ni kubwa kuliko hili la TFF na wanaweza hata wakashindwa kucheza mechi husika. Kwa nini msifanye mapuuza hayo huko halafu msingizie psychology? Hoja za kijinga kabisa hizi.
Upo hapo unanyooshea vidole wengine wakati mwenye hatia ni wewe mwenyewe. Jitambue dogo.
Kutoamini uchawi kunatakiwa kuendana na kutofanya vitendo vyenye viashiria hivyo si tu kubwabwaja maneno mengi. Bado sikuelewi yaani na sidhani kama kuna mtu anakuelewa unapotetea mambo haya halafu hapo hapo unalaumu timu zingine kwa vitu hivyo hivyo wakati mtendaji ni wewe. Ndiyo maana nilisema haujitambui.Brain washed nyinyi. Mbona wachezaji wanaingia uwanjani wakionyesha ishara ya masalaba na wengine wanasujudu uwanjani bila kuchukuliwa hatua. Je, Kuna ubaya gani mchezaji asiyeamini msalaba na kusujudu akaingia uwanjani kinyume nyume kama anaona yeye itamsaidia kumlinda na kucheza vizuri?. Shida yenu kuu ni umbumbumbu na ukasuku. Hakuna uchawi kwenye mpira, TFF iwafundishe vijana wetu hivyo tangu wakiwa watoto. Kutajataja uchawi na kutoa adhabu ni kupalilia imani na hisia za uchawi. Waache kama wanaona inawasaidia ilimradi haiwqdhuru wengine kama vile kuwasha moto viwanjani, moto ni hatari kwenye mazingira.
Wewe hujielewi, hata serikari na sheria haziamini uchawi ila zinakataza vitendo vinavyodhuru watu wengine kwa jina la uchawi kama vile kuchonganisha watu na viungo vya binadamu. Sasa mtu akiingia kinyumenyume uwanjani anamdhulu nani hadi TFF itumie nguvu nyingi sana hivyo? TFF Ina kazi ya kuwaelimisha watu kuwa mpira sio uchawi bali ni maandalizi, ubora na mipango sahihi ili vijana wasihangaike na kuchanjwa chale matakoni ambazo TFF hamtaweza kuziona huko matakani wanapoingia uwanjani. Viongozi wa TFF wenyewe wanaamini kwenye uchawi ndio maana wakiona mtu ameshika manyoa ya kuku TU wanasema ni uchawi lakini wakiona mtu kavaa lozari huo sio uchawi. Ni upuuzi TU wa waafrika kuona kila Cha mwafrika ni uchawi.Kutoamini uchawi kunatakiwa kuendana na kutofanya vitendo vyenye viashiria hivyo si tu kubwabwaja maneno mengi. Bado sikuelewi yaani na sidhani kama kuna mtu anakuelewa unapotetea mambo haya halafu hapo hapo unalaumu timu zingine kwa vitu hivyo hivyo wakati mtendaji ni wewe. Ndiyo maana nilisema haujitambui.
Kuna mwenzio hapo juu anajitetea eti hakuna kiongozi wa Yanga aliyetoka kuliongelea hilo jambo, sijui alikuwa anataka kusema nini. Na bado mtasemaa tu, yaani hapo baaado.
Wananchi wameamua kulipa faini kwakua tunajua tunabaguliwa na kuonewa. Watu wanaobaguliwa na kuonewa wanatabia ya kuwa pamoja na kushikamana zaidi. Uliona wapi kupita mlango mwingine kufika uwanjani kwa wakati kukawa kubaya kuliko kuchelewesha kuanza mchezo na matangazo kwaajili yako? Yaani timu kwa makusudi inaamua kuchelewa kutoka vyumbani hadi kusababisha usumbufu mkubwa kwa watu wote ndani na nje ya uwanja, ndani na nje ya nchi lakini eti adhabu yaao ni 1m only na yule aliyefika uwanjani kwa wakati ni 5m.Kwa hiyo umeamua kabisa ujitetee kwa angle hiyo? Halafu mbona hakuna kiongozi wenu yoyote aliyetoka kulalamikia hiyo faini na badala yake mmeanza kampeni za kukusanya michango kuilipa?
Umeandika ujinga mtupu,tena upuuzi .....Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao wawili waliorudha chupa za maji uwanjani, double standard. Je, itaendelea na zoezi la kuwatafuta na kuwaadhibu mashabiki wa timu wanaokosea badala ya kuziadhibu timu kwa makosa ya mashabiki wao?
Angalia adhabu iliyopewa Simba kwa wachezaji kuchelewesha kuanza kwa mechi na matangazo ya mdhammi kwa kuchelewa kufika uwanjani kwa wakati ni sh. 1m TU, lakini Yanga kupitia mlango mwingine ni 5mil. Nani kafanya kosa kubwa kati ya Simba aliyechelewesha mchezo kuanza na matangazo ya mdhammi na Yanga aliyepitia mlango mwingine kuingia na kufika uwanjani kwa wakati?. Nani kasababisha hasara na usumbufu mkubwa kati ya hawa wawili? Nani alistahili adhabu kubwa kuliko mwingine?
Adhabu ya Halid Aucho ya kumfungia mechi 3 bila kumuadhibu Ajib kama vile hawakuona alichomfanyia Aucho ni dalili ya TFF kuikataa Yanga uwanjani. Kumfungia mechi tatu!!!!
Mungu Yuko pamoja na kila anaeonewa na kudhulumiwa, wanaipaka mafuta Yanga izidi kupaa kimataifa, inakomazwa na TFF kwaajili ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Hata mama anaemnyanyasa house girl na kumpendelea mwanawe ajue anampaka mafuta yule house girl na kumpaka mavi usoni mwanawe. TFF inawapaka mavi usoni Simba, coastal Union na Ibrahim Ajib badala ya kuwasaidia kukua.
Oneni aibu.
Wachawi sana hawa utopolo na jawa ndio wanaharibu taswira ya soka la nchiYanga hili suala la kuingilia mlango usio rasmi inabidi wapigwe fine ya Mabilioni ndio watakoma, kila siku nyie khaa.
Acha kubwabwaja dogo. Nimekwambia kama hiyo ndiyo mbinu zenu, zitumieni pia katika CAFCL uone mtakachopata. Nakwambia hata mechi yenyewe haitachezwa ndiyo ujue uzito wa kosa hilo.Wananchi wameamua kulipa faini kwakua tunajua tunabaguliwa na kuonewa. Watu wanaobaguliwa na kuonewa wanatabia ya kuwa pamoja na kushikamana zaidi. Uliona wapi kupita mlango mwingine kufika uwanjani kwa wakati kukawa kubaya kuliko kuchelewesha kuanza mchezo na matangazo kwaajili yako? Yaani timu kwa makusudi inaamua kuchelewa kutoka vyumbani hadi kusababisha usumbufu mkubwa kwa watu wote ndani na nje ya uwanja, ndani na nje ya nchi lakini eti adhabu yaao ni 1m only na yule aliyefika uwanjani kwa wakati ni 5m.
Sisi ni watanzania na ligi ni ya Tanzania na inachezwa Tanzania ambako kuna mila na tamaduni zake. Tanzania hatuna psychologists and psychoanalysts kwaajili ya vilabu na wachezaji wetu, badala yake tunategemea waganga wa jadi kutibu akili za wachezaji wetu. Ukienda Africa Kaskazini kwa waarabu wana utamaduni wao viwanjani, ukienda ulaya wana wakwao wa kutumia hao psychologists na psychanalysts. Kubadilisha culture sio kazi ndogo inayoambatana na chuki, bali kazi inayohitaji kuwekeza kwenye elimu za watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utopolo acheni uchawiYanga haijawahi kuwasha moto uwanjani na Wala kupulizia dawa watu vyumbani. Kama timu inaweza kuwasha moto katikati ya uwanja wa nchi ya nje je, kwenye uwanja wa nyumbani, kwaMkapa inafanya nini? Na je, itakuwaje kama ikimiliki uwanja wake yenyewe kama vile Azam? Uwanja huo utanuka tunguli kila mahali.
Juzi tu mliwaroga coast [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na refa mkampa bahasha ya kakiHivi wewe na TFF bado mnaamini ushirikina kwenye mpira wa miguu? Yanga ya sasa wameshavuka huko ndio maana inasogea kwa kasi kuliko Ile Yanga ya akina Tabu Mangala.
Kwahiyo simba sc wakiwasha moto sio psychological war?Ni psychological war (vita ya kisaikolojia TU) brother, nothing more, Yanga imesajili vizuri, Ina bench la ufundi safi na uongozi Bora, nothing more nothing less. Uchawi hauna nafasi, na TFF wataukuza kama watakuwa wanautaja kila wakati. Simba waliwasha moto uwanjani na kufungwa mechi pia. Kama uchawi ingekuwa unasaidia basi Nigeria ingekuwa bingwa wa dunia. Tiwache kuukuza uchawi bali tupambane na madawa ya kulevya, kusisimua misuli na Yale yanayolegeza misuli ya wachezaji wa timu pinzani yasitumiwe. Mbona hawawakatazi wale mashabiki wanaoingia na vikapu, njiwa, mchele na vItochi uwanjani?
Duh....NIMEAMINI HATA UKIWA NA PhD Ila ukijihusisha na yanga/utopolo unakuwa kama Charlie Champlin maana huwezi amini mwenye digrii 3 anaweza kuandika hayo mavi hapo juuNina uhakika wewe ni Simba kolo na nimefanikiwa lengo langu la kukukera na kukutoa shimoni!
Elimu yangu digrii 3 za kibabe ambazo ni sawa na ujumlishe elimu zenu wote wewe na ukoo wako mzima!! Niulize chochote kuhusu social science nitakujibu Kwa kurasa 100!! Mjinga sana wewe, shika hili, huwezi kujua elimu ya mtu kupitia comment tu, humu JF tunajifurahisha tu wewe umekuja kichwa kichwa toka Sengerema!!
Namshukuru Allah Umaskini si majaaliwa yangu alhamdulillah pesa ya kula ninayo, ya bando la kukukera kolo ninayo ila kiukweli ghorofa tu ndo Sina!
Kwa taarifa Yako Nyerere unaemuabudu alifundisha ujamaa ambao hakuuelewa na kulipoteza taifa! Huwezi kuwa mjamaa au kugawana mali huku wewe ukiwa ni maskini, ujamaa ni hatua iliyo nyuma ya ubepari yaani nchi lazima itajirike kwanza ndio iingie kwenye ujamaa Baada ya baadhi ya raia kuwa matajiri kupindukia na kunyonya wenzao kupindukia! Na ujamaa huja kwa mapinduzi ya kibabe ya wanaonyonywa ( proletariat revolution) dhidi ya capitalists! Ujamaa hauji kwa kutangaza tu eti sisi ni wajamaa!! Ujamaa ni mfumo wa nchi yenye matabaka mawili tu capitalists wamiliki wa vyanzo vya uchumi na proletariats wanyonge wasio na kitu zaidi ya kumwaga jasho kutumikia mabepari, huku Tanzania haiwezi kuwa na ujamaa sababu ni nchi maskini na ina matabaka mengi, capitalists, peasants, proletariat, middle class, metropolitans, yaani we hujui chochote kuhusu elimu wewe ni bendera tu zidumu fikra za mwenyekiti Nyerere unapiga makofi!!kwa taarifa Yako Nyerere ndio chanzo Cha Umaskini wetu kuingiza nchi vichakani kwa sera zake za kipumbavu za ujamaa ambao hakuuelewa! Mi nimesoma ujamaa vizuri ulaya yenyewe haswa nikasema Mungu wangu hivi Nyerere mbona alipoteza sana Taifa lake!!
Ficha ujinga wako siku ingine, mi napenda Yanga na napenda kukera Makolo!!
We hujui chochote, huna akili , nenda jukwaa la saizi Yako, jukwaa la mapenzi , humu JF huwa tunapinga hoja ya mtu sio kumpinga mtu mwenyewe binafsi! Humu JF hatuulizani elimu Wala utajiri au Umaskini na hili ni jukwaa la michezo sio la elimu na Umaskini au utajiri!!
Na Bado mtakoma!! Mpaka mseme!
Mmekasirika tumegundua matunguri yenu mliyatega hapo....mmeumia na mmekandwa 5 hamumini ....Yanga hili suala la kuingilia mlango usio rasmi inabidi wapigwe fine ya Mabilioni ndio watakoma, kila siku nyie khaa.
We unaona kama ni AUCHO yule kumbe ni LIJINI[emoji23][emoji23]Mmekasirika tumegundua matunguri yenu mliyatega hapo....mmeumia na mmekandwa 5 hamumini ....
Hivi kuna vitendo Yanga iliwahi kufanya vitendo vinavyoashiria uchawi kama Simba kurudi rivers kuwasha watu kuanguka uwanjani na ungoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utopolo acheni uchawiView attachment 2819610
Unaropoka bila kujua unachotaka kusema. Angalia timu za Kaskani zinapokuwa kwenye ligi zao na zinavyofanya zinapocheza kwenye viwanja vyao mashindano ya caf ni tofauti sana na zinapocheza kwenye mechi za finali za kombe la dumia. Zinapokuwa kwenye kombe za dunia zinaachana na utamaduni wao na kufuata utamaduni wa kimataifa hata ikibidi kutangaza pombe au kamali. Huwezi kuwa format watanzania waachane na tamaduni zao kwakutumia adhabu eti kwakuwa wewe unataka kupata fedha za makosa au kuchukia timu nyingine. Kwenye mechi ya final ya caf confederation kati ya US Alger Vs Yanga mashabiki walikoka moshi na mishumaa mbele ya viongozi wa caf na FIFA lakini hawakupewa adhabu yoyote kwakuwa waliichukulia kama culture yao. Ona TFF ilishinikiza Yanga kupewa adhabu na caf kwasababu ya vitoshi tu uwanjani.Acha kubwabwaja dogo. Nimekwambia kama hiyo ndiyo mbinu zenu, zitumieni pia katika CAFCL uone mtakachopata. Nakwambia hata mechi yenyewe haitachezwa ndiyo ujue uzito wa kosa hilo.
Unasisitiza wengine wapate elimu wakati wewe ndiyo wa kwanza unayeihitaji hiyo elimu. Unashangaza sana.