TFF mnasubiri nini, haya makosa ya kibinadamu hutokea tu Simba wanapocheza?

Ww nakwambia hiviiii hutamfunga mnyamaaa...
Mm dawa za presha za nini mwili wangu ni wa mazoezi ww mrundi...
Hahaha
Member ametoa ushuhuda kuwa Huwa una pressure maana ulizimia mahala
Sasa chonde chonde trh jipange vyema, zaidi ongea na Daktari wako zaidi sana andika wosia mapema
 
U Simba na U Yanga ni tatizo katika mpira wa Tanzania
 
Member ametoa ushuhuda kuwa Huwa una pressure maana ulizimia mahala
Sasa chonde chonde trh jipange vyema, zaidi ongea na Daktari wako zaidi sana andika wosia mapema
Msiniletee nuksi ya magonjwa ya kizee at this age...mkomee wewe na pancha wako...
 
Rainbow ya wapi hyo ww kitoto?
Mm na bar au pub wapi na wapi...
Unajifanya umesahau hapa dodoma wakati nikikuwepo siku hiyo ulipozimia pale tukiposhindilia mjegeje wa 5?

Sasa utazimia sana safari hii nenda na dawa zakoπŸ˜‚

Halafu hiyo ya kuniita kitoto wakati mimi bamdogo wako kuwa na adabu wewe mshangazi
 
Ambulance zitakuwa na majukumu mengine kuhudumia wagonjwa Amana hospital πŸ₯
 
Makosa ya kibinadamu ni mengi sana uliona hii
 
Attachments

  • 20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 1
Kwahiyo ushahidi wako ni jamaa wa simba kutokufurahi?
 
Dogo unakaa humu daily kufuatilia habari za mikia kisha unakuja kuomba omba usaidiwe. Tafuta kazi omba connection. Usikae siku nzima unahangaika na mikia tu. Wenzako tunatengeneza pesa. Kisha unakuja unasema we yanga mwenzetu tukuoe hata ya bfast. Tafuta kazi hayo mambo ya mpira hayatakusaidia humu.
 
View: https://x.com/sportshqtz/status/1885569600659583280?t=FFg-66GTQshDNoOBM0MUKg&s=19
 
Una matatizo ya akili? Umelewa? Au umenifananisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…