TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na amesema muiteni mumfungie tena,.

Nitawashangaa sana mkimuachia huyu jamaa ambaye amekimbiwa na mkewe
 
SIMBA HANA KOSA KWA SABABU MECHI IMEAHIRISHWA NA TFF.

HATA HAO TFF WENYEWE HAWAKWENDA UWANJANI ,MAREFA, NA MAAFISA WOTE WA MCHEZO HAWAKWENDA UWANJANI .

HAPO KIMSINGI SIMBA HAWEZI PEWA ADHABU YEYOTE.
 
Wewe sio Shabiki wa Simba, siamini kama ni Shabiki wa Yanga.

Hakuna Shabiki wa Simba Duniani anayeweza kusema Yanga wapewe point 3.

Pia hakuna Shabiki wa Yanga anayeweza kumzungumzia Manara Kwa namna ulivyo mzungumzia wewe hapa.

Sijui wewe ni Shabiki wa Team Gani, nadhani labda sio mtu wa Mpira.

Ila naiona Chuki kwako Kwa Haji Manara, Mtu ambaye hajakukosea chochote labda kama uliyeandika hii post ni Dulla Makabila, Haji naye hutoa maoni yake kama wewe ulivyotoa Yako hapa, tofauti ni kwamba wewe umejificha na yeye sio mnafiki kama wewe.

Kumzungumzia Haji na Mahusiano yake ambayo hayana Cha kufanya na Issue ya Jana.... Inaonyesha wewe ni mtu mwenye Roho mbaya, Masikini, Unaweza kuwa Mchawi na mwenye husuda....!

Haji mwenyewe alishajiweka pembeni na mambo ya uongozi wa Mpira... Hata wakimfungia haimpungizii chochote...!
 
SIMBA HANA KOSA KWA SABABU MECHI IMEAHIRISHWA NA TFF.

HATA HAO TFF WENYEWE HAWAKWENDA UWANJANI ,MAREFA, NA MAAFISA WOTE WA MCHEZO HAWAKWENDA UWANJANI .

HAPO KIMSINGI SIMBA HAWEZI PEWA ADHABU YEYOTE.
Safi kabisa simba kuachana na ligi ya kihuni
 
SIMBA HANA KOSA KWA SABABU MECHI IMEAHIRISHWA NA TFF.

HATA HAO TFF WENYEWE HAWAKWENDA UWANJANI ,MAREFA, NA MAAFISA WOTE WA MCHEZO HAWAKWENDA UWANJANI .

HAPO KIMSINGI SIMBA HAWEZI PEWA ADHABU YEYOTE.
Nakubali
 
Ulitaka akimbiwe na mkeooooooooooooooo
 
ulipoharibu hapo manara kukimbiwa na mkewe au mke mwenyewe ni wewe?
 
Mechi iliahirishwa na Tff. Simba sc hawana kosa.
 
Matukio yote makubwa hapa nchini Mama anayatumia kupiga kampeni za kisias na hiyo derby isingeweza kufanyika bila yeye kuhudhuria.

TFF haijiendeshi tena bali inaendeshwa kwa maagizo ya wizara ya michezo.
 
Na we kanywe dawa zako...
Simba wanaadhibiwaje wakati TFF wenyewe kupitia TPLB wametoa press release ya kuahirishwa mechi... au hata hujui kinachoendelea mzee..
 
Matukio yote makubwa hapa nchini Mama anayatumia kupiga kampeni za kisias na hiyo derby isingeweza kufanyika bila yeye kuhudhuria.

TFF haijiendeshi tena bali inaendeshwa kwa maagizo ya wizara ya michezo.
Kwahiyo Simba kususia mchezo ni maagizo ya wizara😀👐
 
SIMBA HANA KOSA KWA SABABU MECHI IMEAHIRISHWA NA TFF.

HATA HAO TFF WENYEWE HAWAKWENDA UWANJANI ,MAREFA, NA MAAFISA WOTE WA MCHEZO HAWAKWENDA UWANJANI .

HAPO KIMSINGI SIMBA HAWEZI PEWA ADHABU YEYOTE.
Simba kosa lako ni kuahirisha mechi kabla ya tamko la bodi, bodi kosa lako ni kuahirisha mechi bila sababu ya msingi, Yanga wapo salama kwa maelezo ya bado hawakuwa na taarifa na ujio wa simba hivyo walikuwa sahihi kuwazuia. Yanga hawawezi kuwashtaki simba bali bodi ya ligi
#Ligi yetu Kivyetu vyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…