TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
 
Kwani CAF wao wanadanganyika kijinga hivyo? Ukisema Aman ipo kwenye matengenezo je huo wa Benjamini utakuwa tayar ushakamilika wakishakuja kukagua? Kama mmefukia vichwa vya kondoo kafukueni tu na kule Amani hawaruhusu ugaigai pale labda mkasome albadir ambayo hao jamaa wanakuja na albadir zao kama elfu
 
KUPATA UJINGA KAMA HUU ANDIKAAAA

MAPOYOYO FC KWENDA NO 156777
 
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
wamechelewa
 
Utapelekwa Rwanda ndiyo mtachoka zaidi.

CAF wapo sahihi tu,ile mechi dhidi ya Al Masry pitch ilikuwa zaidi ya zizi.

Kina Msigwa wapo busy na yasiyowahusu eg goli la Mama badala ya kuelekeza nguvu kwenye marekebisho ya huo uwanja uwe tayari muda wote.
 
Kwani CAF wao wanadanganyika kijinga hivyo? Ukisema Aman ipo kwenye matengenezo je huo wa Benjamini utakuwa tayar ushakamilika wakishakuja kukagua? Kama mmefukia vichwa vya kondoo kafukueni tu na kule Amani hawaruhusu ugaigai pale labda mkasome albadir ambayo hao jamaa wanakuja na albadir zao kama elfu
Hahahaha Yaani wazigua wakasome albdadir kumuomba allah mungu wa kiarabu dhidi ya waarabu wenye Mungu wao?

😁😁😁😁
 
Utapelekwa Rwanda ndiyo mtachoka zaidi.

CAF wapo sahihi tu,ile mechi dhidi ya Al Masry pitch ilikuwa zaidi ya zizi.

Kina Msigwa wapo busy na yasiyowahusu eg goli la Mama badala ya kuelekeza nguvu kwenye marekebisho ya huo uwanja uwe tayari muda wote.
Kuna maslahi wanapata maana haiwezekani wanaukingia kifua wakati hakuna marekebisho ya msingi
 
Back
Top Bottom