TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Ni wewe unautengeneza?
 
Tanzania ni useng.e mtupu uwanja mwaka wa ngapi sijui huu umefungwa. Aya sasa kimetulamba hicho kubababake
Nadhani Uwanja ulifungwa kwa ajili ya matengenezo kujitayarisha na CHAN na AFCON, sio kombe hili la akina mama. Akina mama Hawa walishakatiwa tamaa, ilijulikana mwisho wao 1/4.
 
Niliwaambia mapema mkautifue kidogo ule uwanja wa amani kule Zanzibar ili uonekane mbovu mkashindwa
 
Mngalitifua shimo la mchongo hapo kati mkamwaga na maji na Caf wangesogeza mbele ratiba dimba likachezwa kwa mkapa
 
Ukishakuwa shabiki wa simba na Yanga lazima uwe na matatizo ya akili
 
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Ukiwa kwenye matengenezo si tunakupeleka hata Rwanda ukacheze
 
Back
Top Bottom