RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,806
- 2,723
Kwaiyo unaifananisha CAF na Ccm
Caf wanajitambua na caf wanafuatilia kila kitu kabla ya kutoa taarifa
Caf wanajitambua na caf wanafuatilia kila kitu kabla ya kutoa taarifa
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Hata huo wa znz ikinyesha kubwa, hauchezeki vizuri, anaejenga viwanja vyetu sijui vipiNasimama na caf
Game ya Al Masry ilionesha wazi hakuna uwanja pale na game ya Stellenbosch ilionesha wazi amaan ni uwanja stahiki kabisa kwa final
Anzeni MAANDALIZI ya kucheza Zanzibar
Una angalau kidogo hapo JKt Kuna mtalaam sana wa viwanja sema ndio hivyoHata huo wa znz ikinyesha kubwa, hauchezeki vizuri, anaejenga viwanja vyetu sijui vipi
Huo uwanja wa Jkt mnausifia kwa sababu haukutani na kashkash nyingi kama uwanja wa Mkapa lakini hakuna kitu hapo.Una angalau kidogo hapo JKt Kuna mtalaam sana wa viwanja sema ndio hivyo
Ngoja tuone ila berkane washikilie hapo hapo ubaya ubwela ki internationalHuo uwanja wa Jkt mnausifia kwa sababu haukutani na kashkash nyingi kama uwanja wa Mkapa lakini hakuna kitu hapo.
Shida nyingine ni matunzo ya viwanja bongo ni shida sana hususan hivyo vya Serikali.
Ubaya Ubwela umekutana na wajuzi wa Fitina kama hakutotokea mabadiriko tena tuone kama Simba hawatocheza.
NB: Timu za Tanzania zijifunze kuandaa timu na si kutegemea uwanja wa mkapa ili kupata ushindi huo ni upuuzi na umburula
DuhNgoja tuone ila berkane washikilie hapo hapo ubaya ubwela ki international
HayaKwasasa Simba akili zao waelekeze kwenye mechi mambo ya uwanja yatawatoa mchezoni.
Jinsi viongozi na mashabiki wanavyo onyesha ku panic Mitandaoni ndivyo na wachezaji wanapata hofu badala ya ku focus na mechi ya Jumamosi
Wachezaji wanaingia Mitandaoni na kushuhudia hii taharuki.
Nikisemaga watanzania ni wajinga wajinga huamini?Hii Nchi ni ya kiboya sana!
Ninini maana ya kula kwa urefu wa kamba yako?Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
kweli we mbumbumbu kwamba CAF wamefanyia kazi picha na sio taarifa ya ukaguziYanga wametuma picha za kuchongea CAF ili uwanja usitumike
This Paragraph hits real hardTungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
ProbulemeeHata huo wa znz ikinyesha kubwa, hauchezeki vizuri, anaejenga viwanja vyetu sijui vipi
Tunawapeleka azamKimeumana