TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

Utapelekwa Rwanda ndiyo mtachoka zaidi.

CAF wapo sahihi tu,ile mechi dhidi ya Al Masry pitch ilikuwa zaidi ya zizi.

Kina Msigwa wapo busy na yasiyowahusu eg goli la Mama badala ya kuelekeza nguvu kwenye marekebisho ya huo uwanja uwe tayari muda wote.
Kmc inatosha
 
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Zanzibar pia wanapenda uwanja wao utambukike huko duniani
 
Yawezekana ni Mpango wa Samia au machawa wake kuipromote Zanzibar
Huyu mama mambo ya BARA kayatelekeza au lakini si ndo katoa ndege jamani, kwa hili mpeni maua yake!

Shida ni mafisadi tu kula hela ya uwanja
 
Yani zanzibar wakose watalii , tena waislamu wenzao kwasababu ya mambo yenu ya kishirikina simba. tunajua benjamin mkapa mmezika sana mafuvu ya albino, kule zenji hamtaruhusiwa kwenda kufukia vitu vyenu, zanzibar ni nchi uru inayojitegemea
Daima mbele nyuma mwiko nyie si hamchezi kaeni kimya
 
Sasa caf watasema Amna kiwanja Tanzania nzima nendeni Kenya utanyimisha fursa at kwa kizimkazi ndio tutajialibia kabisa
 
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
naomba kukuuliza uwanja hichi kipindi una marekebisho ambayo waziri na msemaji wa serekali ulifungiwa na nani tuanzie apo kwanza ili usiwalishe wat matango poli
 
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Ata wakifanya namna mda huo ushapita kikanuni na ikishindikana hapo mtapelekwa kucheza nje ya nchi na sio kwa mkapa ni Bora mtulie tu
 
Mkiendelea kupiga siasa mechi inapelekwa Rwanda hii shauri yenu.
 
Yani zanzibar wakose watalii , tena waislamu wenzao kwasababu ya mambo yenu ya kishirikina simba. tunajua benjamin mkapa mmezika sana mafuvu ya albino, kule zenji hamtaruhusiwa kwenda kufukia vitu vyenu, zanzibar ni nchi uru inayojitegemea
Na meneja wa Uwanja hawezi kupewa likizo ili vibabu vifupi vikazike MEEE.
 
Bora hapohapo,wasije kupeleka game Sudan bure hao CAFndugu yng
 
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF

Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.

Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!

Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Hata wafanyeje hao Berkane na caf kipigo kipo palepale
 
Tanzania ni useng.e mtupu uwanja mwaka wa ngapi sijui huu umefungwa. Aya sasa kimetulamba hicho kubababake
 
Back
Top Bottom