KUPATA UJINGA KAMA HUU ANDIKAAAAFanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
wamechelewaFanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
YaaanAibu kwa Taifa aisee
hakuna aibu pitch inasukwa upya na sio rahisi kuwa tayari kwa siku chache tuYaaan
Miyeyusho sanaMbona kuwavalisha wazungu reflector za mchongo ππ Nimecheka hakiiπ
πππππMbona kuwavalisha wazungu reflector za mchongo ππ Nimecheka hakiiπ
Hahahaha Yaani wazigua wakasome albdadir kumuomba allah mungu wa kiarabu dhidi ya waarabu wenye Mungu wao?Kwani CAF wao wanadanganyika kijinga hivyo? Ukisema Aman ipo kwenye matengenezo je huo wa Benjamini utakuwa tayar ushakamilika wakishakuja kukagua? Kama mmefukia vichwa vya kondoo kafukueni tu na kule Amani hawaruhusu ugaigai pale labda mkasome albadir ambayo hao jamaa wanakuja na albadir zao kama elfu
Kuna maslahi wanapata maana haiwezekani wanaukingia kifua wakati hakuna marekebisho ya msingiUtapelekwa Rwanda ndiyo mtachoka zaidi.
CAF wapo sahihi tu,ile mechi dhidi ya Al Masry pitch ilikuwa zaidi ya zizi.
Kina Msigwa wapo busy na yasiyowahusu eg goli la Mama badala ya kuelekeza nguvu kwenye marekebisho ya huo uwanja uwe tayari muda wote.