Kmc inatoshaUtapelekwa Rwanda ndiyo mtachoka zaidi.
CAF wapo sahihi tu,ile mechi dhidi ya Al Masry pitch ilikuwa zaidi ya zizi.
Kina Msigwa wapo busy na yasiyowahusu eg goli la Mama badala ya kuelekeza nguvu kwenye marekebisho ya huo uwanja uwe tayari muda wote.
Yanga wametuma picha za kuchongea CAF ili uwanja usitumikeKimeumana
Zanzibar pia wanapenda uwanja wao utambukike huko dunianiFanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Huyu mama mambo ya BARA kayatelekeza au lakini si ndo katoa ndege jamani, kwa hili mpeni maua yake!Yawezekana ni Mpango wa Samia au machawa wake kuipromote Zanzibar
Daima mbele nyuma mwiko nyie si hamchezi kaeni kimyaYani zanzibar wakose watalii , tena waislamu wenzao kwasababu ya mambo yenu ya kishirikina simba. tunajua benjamin mkapa mmezika sana mafuvu ya albino, kule zenji hamtaruhusiwa kwenda kufukia vitu vyenu, zanzibar ni nchi uru inayojitegemea
Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu
naomba kukuuliza uwanja hichi kipindi una marekebisho ambayo waziri na msemaji wa serekali ulifungiwa na nani tuanzie apo kwanza ili usiwalishe wat matango poliFanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Tukutane Zanzibar 🤣😂😂😂😂😂
Ata wakifanya namna mda huo ushapita kikanuni na ikishindikana hapo mtapelekwa kucheza nje ya nchi na sio kwa mkapa ni Bora mtulie tuFanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Na meneja wa Uwanja hawezi kupewa likizo ili vibabu vifupi vikazike MEEE.Yani zanzibar wakose watalii , tena waislamu wenzao kwasababu ya mambo yenu ya kishirikina simba. tunajua benjamin mkapa mmezika sana mafuvu ya albino, kule zenji hamtaruhusiwa kwenda kufukia vitu vyenu, zanzibar ni nchi uru inayojitegemea
WeehBora hapohapo,wasije kupeleka game Sudan bure hao CAFndugu yng
Hata wafanyeje hao Berkane na caf kipigo kipo palepaleFanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho.
Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF
Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana.
Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika miradi unaligharimu taifa na kulitia aibu kwa sababu ya tabia za watu wachache!
Tungekuwa wazalendo pesa iliyotolewa ilitosha sana kuepusha aibu ndogo ndogo kuliko kuvalisha wazungu reflector za mchongo ili waonekane wapo site wanajenga kumbe uwongo.
Acha tu mkuuHii Nchi ni ya kiboya sana!